M-bongotz
JF-Expert Member
- Jan 7, 2010
- 1,736
- 408
Sijui niite ni tatizo au nini hiki,demu wangu wa mwisho kabla ya wife bado amenikaa akilini ile mbaya,msitake kujua kwanini tulimwagana, nampenda sana wife lakini huyu mtangulizi wake kila nikijaribu kumtoa akilini inakuwa ishu ingawaje ni miaka karibu minne sasa toka uhusiano ulipokufa by mutual consent.