Bado namfeel

mkuu isije ikawa ulikuwa unaji-express kwa uwazi sana enzi hizo, but siku hizi heshima na formalities zimezidi mno ndani ya ndoa.... loosen up a little bit bro!
 
Mbongotz,dini yako inakuruhusu kuoa mke wa pili?

Hapana mkuu dini hairuhusu,na wala sina mpango wa kusaliti ndoa,kinachonitatiza tu ni kwamba imenichukua muda mrefu kumsahau.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…