Bado naona Salum Mwalimu akiwa hajatumika ipasavyo CHADEMA, bado ana vitu vingi vya ku-offer

Bado naona Salum Mwalimu akiwa hajatumika ipasavyo CHADEMA, bado ana vitu vingi vya ku-offer

DR HAYA LAND

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2017
Posts
23,928
Reaction score
63,499
Wakati Lissu na timu yake wakiandaa mikakati mbalimbali bado naona anahitajika mtu Kama Salim Mwalimu katika safari ya ukombozi .

Nimemfahamu Salim Mwalimu tangia akiwa Vodacom katika idara ya masoko na pia nimewahi kufanya nae kazi katika taasisi Fulani .

Ni Kijana smart ,humble and goal oriented .

Bado naiona potential kubwa ndani yake. ✌🇹🇿🤝🏿
 
Back
Top Bottom