Bado napata wakati mgumu juu ya huyu mfanyakazi mwenzangu

MTINGIJOLI

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2014
Posts
1,455
Reaction score
1,473
Habarini za asubuhi wana jf, bila shaka mmmeamka salama hongereni kwa majukumu ya siku, kama mnavyokumbuka kuna kipindi nilileta mada kuhusu huyu workmate ambae ni mke wa mtu, samahani kwa wale nitakaowakwaza juu ya hili, nilijaribu kufuata ushauri wenu jinsi ya kumuepuka ila naona ni kama imeshindikana, nikimsalimia hivi hivi juu juu nikampita, analazimisha hug, sometmes hata kiss, nikisema nimnunie wapi, mara anaulize sijui una tatizo gani, mbona upo hivyo, tukiongea huwa naleta mazungumzo kuhusu mumewe, { ingawa simfahamu kihiivyo} anakuja juu na kuwa mkali, na kuniambia mabo ya mumewe hayanihusu,

Dhumuni la kuleta hapa hata mimi sifurahishwi na hili jambo, naogopa kumweleza, sijui atalipokeaje, hata nikiongea na simu au akiona sms kwenye simu yangu, lazima aniulize, anafatilia kuhusu jinsi nimevaaje, sijui nywele zimekua, punguza ndevu na ishu kama hizo, narudia tena, samahani kwa wale nitakaowakwaza, naombeni mnishauri jinsi kutoka kwenye huu mtego, naamini hunu kuna kila aina ya watu, wenye ufahamu mkubwa, wa kati na mdogo, karibuni napokea mawazo yenu yote.

ahsanteni sana
 
1. Epuka mapenzi na mke wa mtu.
- Utaishi vibaya kazini.
- Mwanzo wa kuiharibu kazi yako.
2. Hutaishi kwa amani, maana uko naye karibu. Hivyo hutarukaruka tena.
3. Siku ukigundulika utaishi kwa aibu na hofu.
4. Sasa siku mumewe akidukua mawasiliano ya mkewe.
-Utaimba parapanda au Malinda yapakwe KY.
- utaishi kwa hofu na woga
- Aibu itakuwa sehemu ya maisha yako.
5. Subiria wengine ba uchanganye na zako.
 
usije ukaruhusu kuanzisha mahusiano nae wala usije ukapokea ushauri wa kusema mle huyo dada alaf achana nae, endelea kumuepuka na ikiwezekana vunja ukimya mwambie ukweli. lastly: kama hataki muongelee kuhusu mme wake basi ww uwe unamuongelea girlfriend wako mara kwa mara ukiwa karibu na huyo dada, msifie sana girl wako hata kama hauna.
 
Habarini Za Asubuhi Wana JF, Bila Shaka Mmmeamka Salama Hongereni kwa Majukumu Ya Siku, Kama Mnavyokumbuka kuna Kipindi Nilileta Mada Kuhusu huyu Workmate ambae ni Mke Wa Mtu, Samahani Kwa wale Nitakaowakwaza Juu Ya Hili, Nilijaribu Kufuata Ushauri Wenu Jinsi Ya Kumuepuka Ila Naona ni Kama Imeshindikana, Nikimsalimia Hivi hivi Juu Juu Nikampita, Analazimisha Hug, Sometmes Hata Kiss, Nikisema Nimnunie Wapi, Mara Anaulize Sijui Una Tatizo Gani, Mbona Upo Hivyo, Tukiongea Huwa Naleta Mazungumzo kuhusu Mumewe, { Ingawa Simfahamu Kihiivyo} Anakuja Juu Na Kuwa Mkali, Na Kuniambia mabo Ya Mumewe Hayanihusu,
Dhumuni la Kuleta Hapa hata Mimi Sifurahishwi na Hili Jambo, Naogopa Kumweleza, Sijui atalipokeaje, Hata Nikiongea Na Simu Au Akiona Sms Kwenye Simu Yangu, Lazima Aniulize, Anafatilia Kuhusu Jinsi Nimevaaje, Sijui Nywele Zimekua, Punguza Ndevu Na Ishu Kama Hizo, Narudia Tena, Samahani Kwa wale Nitakaowakwaza, Naombeni Mnishauri Jinsi Kutoka Kwenye huu Mtego, Naamini Hunu Kuna Kila aina ya Watu, Wenye ufahamu Mkubwa, Wa Kati Na Mdogo, Karibuni Napokea Mawazo Yenu Yote.

Ahsanteni Sana
Usituchoshe, swali moja tu nataka unijibu? Hicho anachokitaka huyo mke wa mtu HUNA au UNACHO?
 
Ingekua hampo wote kazini ushauri wangu ungekua hivi "Be a man, it seems kakulegeza magoti huna nguvu za kukataa hivo mtmb tu"

Kwakua sio mdau wa mapenzi kazini "muache aende, kama upo serious mtumie vimsg unajifanya nawe umemuelewa tafuta mwanamke umpe simu ajifanye dem wako kakuta msg kwa simu amchambe, amwambie atakuja hadi kazini kuliamsha baada ya timbwili kaa mbali kaa mbali nae"

Mapenzi ya kazini sometimes sio kuna jamaa kazini pale anamla mdada hivi, sasa wapenzi watazamaji tushazipata ana kibamia na hajui mambo basi nikimuangaliaga aibu nnazoona zile za MO11 cha mtoto, jamaa mwingine ye anasifiwa kuwa anayaweza sana basi na mwingine kamtunuku.

Kumla workmate ni kujilipua either ujiandae kwa fedheha kama hujui kitu au jiandae na sifa nzuri hadi na wengine watamani kukutunuku
Ila kwa unavosound unatamani kumla ila unavisababu vinavokufanya usimle....kazi kwako!!!!!
 
Usimtengenezee mazingira hayo inapobid unakuwa mkali maana hata yy anajua anachokifanya siyo sawa narudia tena epuka mke wa mtu lolote laweza kutokea na ikakukost kuna kamsemo kanasema "had I known become later"sasa endelea kujilegeza uache kuikimbia zinaa bora hata angekuwa n mtu hajaolewa kuliko kumwendekeza mke wa mtu
 
Yakikukuta urud hapa ulete mrejesho unapataje wakat mgumu kwa mfanyakaz mwenzako kwanza wanawake wa aina hyo wanaangalia na nature ya mtu wa kufanyia huo ujinga yan mtu unavojiweka m nakumbuka tuko advance wadada walikuwa wanawashobokea walimu wa kiume wale vijana vijana alikuepo mwalmu mmoja kwa jins alivokuw skuwah kuona mtu anamshobokea ss ww endelea kujilegeza
 
Ingekua hampo wote kazini ushauri wangu ungekua hivi "Be a man, it seems kakulegeza magoti huna nguvu za kukataa hivo mtmb tu"

Kwakua sio mdau wa mapenzi kazini "muache aende, kama upo serious mtumie vimsg unajifanya nawe umemuelewa tafuta mwanamke umpe simu ajifanye dem wako kakuta msg kwa simu amchambe, amwambie atakuja hadi kazini kuliamsha baada ya timbwili kaa mbali kaa mbali nae"

Mapenzi ya kazini sometimes sio kuna jamaa kazini pale anamla mdada hivi, sasa wapenzi watazamaji tushazipata ana kibamia na hajui mambo basi nikimuangaliaga aibu nnazoona zile za MO11 cha mtoto, jamaa mwingine ye anasifiwa kuwa anayaweza sana basi na mwingine kamtunuku.

Kumla workmate ni kujilipua either ujiandae kwa fedheha kama hujui kitu au jiandae na sifa nzuri hadi na wengine watamani kukutunuku
Ila kwa unavosound unatamani kumla ila unavisababu vinavokufanya usimle....kazi kwako!!!!!
Tufumbe macho tuombe
hahahaha
naomba tuombe
 
1. Epuka mapenzi na mke wa mtu.
- Utaishi vibaya kazini.
- Mwanzo wa kuiharibu kazi yako.
2. Hutaishi kwa amani, maana uko naye karibu. Hivyo hutarukaruka tena.
3. Siku ukigundulika utaishi kwa aibu na hofu.
4. Sasa siku mumewe akidukua mawasiliano ya mkewe.
-Utaimba parapanda au Malinda yapakwe KY.
- utaishi kwa hofu na woga
- Aibu itakuwa sehemu ya maisha yako.
5. Subiria wengine ba uchanganye na zako.

hahhhahaha!aisee!ushauri mzuri sana huu...ila no 1 mm sijaelewa!kwamba wao hawafai kupednwa au vip! mkuu sio afya kukariri!
 
Ni Kweli Kwa Jinsi Alivyo Nashawika Kweli
 
1. Epuka mapenzi na mke wa mtu.
- Utaishi vibaya kazini.
- Mwanzo wa kuiharibu kazi yako.
2. Hutaishi kwa amani, maana uko naye karibu. Hivyo hutarukaruka tena.
3. Siku ukigundulika utaishi kwa aibu na hofu.
4. Sasa siku mumewe akidukua mawasiliano ya mkewe.
-Utaimba parapanda au Malinda yapakwe KY.
- utaishi kwa hofu na woga
- Aibu itakuwa sehemu ya maisha yako.
5. Subiria wengine ba uchanganye na zako.
Asante Mkuu
 
hahhhahaha!aisee!ushauri mzuri sana huu...ila no 1 mm sijaelewa!kwamba wao hawafai kupednwa au vip! mkuu sio afya kukariri!
Hiyo no 1
Nimeshuhudia wengi wanaharibu kazi zao kisa mapenzi na wafanyakazi wenzao.

Pia watu kuufahamu uhusiano huo huwa ni rahisi sana na rahisi kumfikia mume wake.

Ukikwazana na mtu au mtu akiwaonea wivu tu anaweza kwenda kumwambia mume wa huyo dada.
 
Umeongea point chukua mofaya nalipa ye anadai demu anashawish nam nkampa go ahead akivunjwa taya hasara kwa nan
 
Back
Top Bottom