Bado napata wakati mgumu juu ya huyu mfanyakazi mwenzangu

Utamla ndiyo lakini upo tayari majanga ya hatokanayo na mapenzi kazini na kula mke wa mtu.RAHA YA SIKU MOJA ISIJE KUFANYA UCHUKIE KAZI NA MAISHA KWA UJUMLA
 
MWAMBIE UKWELI KUWA HUMTAKI NA UKWELI NDIO UTAKAO KUWEKA HURU
 
kesi zoote kama hizi nimekuwa nikifumaniwa na mke wangu na siyo mume mhusika....sijui nina mkosi gani
 
Habarini za asubuhi wana jf, bila shaka mmmeamka salama hongereni kwa majukumu ya siku, kama mnavyokumbuka kuna kipindi nilileta mada kuhusu huyu workmate ambae ni mke wa mtu, samahani kwa wale nitakaowakwaza juu ya hili, nilijaribu kufuata ushauri wenu jinsi ya kumuepuka ila naona ni kama imeshindikana, nikimsalimia hivi hivi juu juu nikampita, analazimisha hug, sometmes hata kiss, nikisema nimnunie wapi, mara anaulize sijui una tatizo gani, mbona upo hivyo, tukiongea huwa naleta mazungumzo kuhusu mumewe, { ingawa simfahamu kihiivyo} anakuja juu na kuwa mkali, na kuniambia mabo ya mumewe hayanihusu,

Dhumuni la kuleta hapa hata mimi sifurahishwi na hili jambo, naogopa kumweleza, sijui atalipokeaje, hata nikiongea na simu au akiona sms kwenye simu yangu, lazima aniulize, anafatilia kuhusu jinsi nimevaaje, sijui nywele zimekua, punguza ndevu na ishu kama hizo, narudia tena, samahani kwa wale nitakaowakwaza, naombeni mnishauri jinsi kutoka kwenye huu mtego, naamini hunu kuna kila aina ya watu, wenye ufahamu mkubwa, wa kati na mdogo, karibuni napokea mawazo yenu yote.

ahsanteni sana
Ndio maana ukaitwa mwanaume pambana na hali yako acha ungese..[emoji35]
 
Kaka kuna msanii aliimba....
Mke wa mtu ni sumu, Usiyoitegemea
Yatakuja yakukute......

[emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124] btw sijaona cha kuomba ushauri hapo wewe ni mtu mzima wajua kibaya na kizuri
 
Mwambie ukweli kbs hutaki huo ukaribu Wa hivo na wake za watu either atapokea vibaya or not,it's up to yeye. You can imagine siku mnahug n kiss akatokea mumewe hapo atakufikiriaje? Kwamba ni marafiki tu?.Heri fedheha kuliko aibu kubwa.Huyo Dada naye awe anajiheshimu basi, kama alikurupuka kuingia kwenye ndoa na mtu asiyempenda atulie tu[emoji3] .
 
Unakwenda kwa boss wake
Unakwenda kwa boss wake
Tatizo kwenye societies zetu mwanamume anapo kwenda kulalamika against sexual advances za demu ni ngumu kuaminika kuliko demu akienda kushitaki. So kuna uwezekano mkubwa jamaa kibao akageuziwa yeye unless he has strong evidence to support his claims.
 
hivi kukaa nae na kumwambia juu ya tabia yake imeshindika?au kwa nn usifuatilie ukamjua mume wake au bwana wake na kumpa matatzo ya mkeo huko kazin?
nafikir kaa na mumeo umwambie ukwel juu ya tatzo la mkeo then mpe tahadhali juu ya kile anachokitafuta mkeo kwako.
 
Habarini za asubuhi wana jf, bila shaka mmmeamka salama hongereni kwa majukumu ya siku, kama mnavyokumbuka kuna kipindi nilileta mada kuhusu huyu workmate ambae ni mke wa mtu, samahani kwa wale nitakaowakwaza juu ya hili, nilijaribu kufuata ushauri wenu jinsi ya kumuepuka ila naona ni kama imeshindikana, nikimsalimia hivi hivi juu juu nikampita, analazimisha hug, sometmes hata kiss, nikisema nimnunie wapi, mara anaulize sijui una tatizo gani, mbona upo hivyo, tukiongea huwa naleta mazungumzo kuhusu mumewe, { ingawa simfahamu kihiivyo} anakuja juu na kuwa mkali, na kuniambia mabo ya mumewe hayanihusu,

Dhumuni la kuleta hapa hata mimi sifurahishwi na hili jambo, naogopa kumweleza, sijui atalipokeaje, hata nikiongea na simu au akiona sms kwenye simu yangu, lazima aniulize, anafatilia kuhusu jinsi nimevaaje, sijui nywele zimekua, punguza ndevu na ishu kama hizo, narudia tena, samahani kwa wale nitakaowakwaza, naombeni mnishauri jinsi kutoka kwenye huu mtego, naamini hunu kuna kila aina ya watu, wenye ufahamu mkubwa, wa kati na mdogo, karibuni napokea mawazo yenu yote.

ahsanteni sana
Nenda wote kwa walokole mkaokoke tamaa kwisheney
 
Tumia silaha ya moto kumtishia otherwise utaharibu kazi,niliwai kuwa na demu sehemu ya kazi kila akiwajibishwa kutokana na uzembe nakwazika sana.
 
Habarini za asubuhi wana jf, bila shaka mmmeamka salama hongereni kwa majukumu ya siku, kama mnavyokumbuka kuna kipindi nilileta mada kuhusu huyu workmate ambae ni mke wa mtu, samahani kwa wale nitakaowakwaza juu ya hili, nilijaribu kufuata ushauri wenu jinsi ya kumuepuka ila naona ni kama imeshindikana, nikimsalimia hivi hivi juu juu nikampita, analazimisha hug, sometmes hata kiss, nikisema nimnunie wapi, mara anaulize sijui una tatizo gani, mbona upo hivyo, tukiongea huwa naleta mazungumzo kuhusu mumewe, { ingawa simfahamu kihiivyo} anakuja juu na kuwa mkali, na kuniambia mabo ya mumewe hayanihusu,

Dhumuni la kuleta hapa hata mimi sifurahishwi na hili jambo, naogopa kumweleza, sijui atalipokeaje, hata nikiongea na simu au akiona sms kwenye simu yangu, lazima aniulize, anafatilia kuhusu jinsi nimevaaje, sijui nywele zimekua, punguza ndevu na ishu kama hizo, narudia tena, samahani kwa wale nitakaowakwaza, naombeni mnishauri jinsi kutoka kwenye huu mtego, naamini hunu kuna kila aina ya watu, wenye ufahamu mkubwa, wa kati na mdogo, karibuni napokea mawazo yenu yote.

ahsanteni sana
Mwenza wangu anamsifia sana rafiki yangu - JamiiForums
Nahisi kumpenda my "Workmate" - JamiiForums
inaelekea wewe ni mtungaji wa story
 
Hapo mtego unaozungumzia no upi? Kwanza hebu toa hiyo avatar ya jembe Che. Haiwezekani ishu ndogo kama hii ikusumbue au ndiyo bosi wako huyu Malaya?
 
Habarini za asubuhi wana jf, bila shaka mmmeamka salama hongereni kwa majukumu ya siku, kama mnavyokumbuka kuna kipindi nilileta mada kuhusu huyu workmate ambae ni mke wa mtu, samahani kwa wale nitakaowakwaza juu ya hili, nilijaribu kufuata ushauri wenu jinsi ya kumuepuka ila naona ni kama imeshindikana, nikimsalimia hivi hivi juu juu nikampita, analazimisha hug, sometmes hata kiss, nikisema nimnunie wapi, mara anaulize sijui una tatizo gani, mbona upo hivyo, tukiongea huwa naleta mazungumzo kuhusu mumewe, { ingawa simfahamu kihiivyo} anakuja juu na kuwa mkali, na kuniambia mabo ya mumewe hayanihusu,

Dhumuni la kuleta hapa hata mimi sifurahishwi na hili jambo, naogopa kumweleza, sijui atalipokeaje, hata nikiongea na simu au akiona sms kwenye simu yangu, lazima aniulize, anafatilia kuhusu jinsi nimevaaje, sijui nywele zimekua, punguza ndevu na ishu kama hizo, narudia tena, samahani kwa wale nitakaowakwaza, naombeni mnishauri jinsi kutoka kwenye huu mtego, naamini hunu kuna kila aina ya watu, wenye ufahamu mkubwa, wa kati na mdogo, karibuni napokea mawazo yenu yote.

ahsanteni sana

Tafuta mdada yoyote aje akusalimie kazini na umtambulishe kuwa ni mchumba wako.
 
Kuna mke wa mtu nilokuwa nafanya naye kazi nikawa natoka nae aisee nilikuwa naishi kazini kama mfalme kuanzia misosi mpk mavazi nikawa na vimba utadhani mke wangu[emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom