Ingekua hampo wote kazini ushauri wangu ungekua hivi "Be a man, it seems kakulegeza magoti huna nguvu za kukataa hivo mtmb tu"
Kwakua sio mdau wa mapenzi kazini "muache aende, kama upo serious mtumie vimsg unajifanya nawe umemuelewa tafuta mwanamke umpe simu ajifanye dem wako kakuta msg kwa simu amchambe, amwambie atakuja hadi kazini kuliamsha baada ya timbwili kaa mbali kaa mbali nae"
Mapenzi ya kazini sometimes sio kuna jamaa kazini pale anamla mdada hivi, sasa wapenzi watazamaji tushazipata ana kibamia na hajui mambo basi nikimuangaliaga aibu nnazoona zile za MO11 cha mtoto, jamaa mwingine ye anasifiwa kuwa anayaweza sana basi na mwingine kamtunuku.
Kumla workmate ni kujilipua either ujiandae kwa fedheha kama hujui kitu au jiandae na sifa nzuri hadi na wengine watamani kukutunuku
Ila kwa unavosound unatamani kumla ila unavisababu vinavokufanya usimle....kazi kwako!!!!!
We dogo unatakiwa kutiwa vitasa.. Tatizo ndiyo wew n siyo huyo mwanamke..KwaKweli,Ni Mrembo Hasa
Okay upo tayari kumla ila unasikilizia go ahead kutoka kwa wapenzi watazamaji....Ni Kweli Kwa Jinsi Alivyo Nashawika Kweli
Habarini za asubuhi wana jf, bila shaka mmmeamka salama hongereni kwa majukumu ya siku, kama mnavyokumbuka kuna kipindi nilileta mada kuhusu huyu workmate ambae ni mke wa mtu, samahani kwa wale nitakaowakwaza juu ya hili, nilijaribu kufuata ushauri wenu jinsi ya kumuepuka ila naona ni kama imeshindikana, nikimsalimia hivi hivi juu juu nikampita, analazimisha hug, sometmes hata kiss, nikisema nimnunie wapi, mara anaulize sijui una tatizo gani, mbona upo hivyo, tukiongea huwa naleta mazungumzo kuhusu mumewe, { ingawa simfahamu kihiivyo} anakuja juu na kuwa mkali, na kuniambia mabo ya mumewe hayanihusu,
Dhumuni la kuleta hapa hata mimi sifurahishwi na hili jambo, naogopa kumweleza, sijui atalipokeaje, hata nikiongea na simu au akiona sms kwenye simu yangu, lazima aniulize, anafatilia kuhusu jinsi nimevaaje, sijui nywele zimekua, punguza ndevu na ishu kama hizo, narudia tena, samahani kwa wale nitakaowakwaza, naombeni mnishauri jinsi kutoka kwenye huu mtego, naamini hunu kuna kila aina ya watu, wenye ufahamu mkubwa, wa kati na mdogo, karibuni napokea mawazo yenu yote.
ahsanteni sana
Okay upo tayari kumla ila unasikilizia go ahead kutoka kwa wapenzi watazamaji....
Unajua kutumia hiyo shaft yako vizuri? Kamle tu ile kisawasawa...ila jiandae kwa lolote.
Nasikitika sana mumewe na huyo mfanyakazi mwenzio ni member wa kudumu humu JF. 🙂Habarini za asubuhi wana jf, bila shaka mmmeamka salama hongereni kwa majukumu ya siku, kama mnavyokumbuka kuna kipindi nilileta mada kuhusu huyu workmate ambae ni mke wa mtu, samahani kwa wale nitakaowakwaza juu ya hili, nilijaribu kufuata ushauri wenu jinsi ya kumuepuka ila naona ni kama imeshindikana, nikimsalimia hivi hivi juu juu nikampita, analazimisha hug, sometmes hata kiss, nikisema nimnunie wapi, mara anaulize sijui una tatizo gani, mbona upo hivyo, tukiongea huwa naleta mazungumzo kuhusu mumewe, { ingawa simfahamu kihiivyo} anakuja juu na kuwa mkali, na kuniambia mabo ya mumewe hayanihusu,
Dhumuni la kuleta hapa hata mimi sifurahishwi na hili jambo, naogopa kumweleza, sijui atalipokeaje, hata nikiongea na simu au akiona sms kwenye simu yangu, lazima aniulize, anafatilia kuhusu jinsi nimevaaje, sijui nywele zimekua, punguza ndevu na ishu kama hizo, narudia tena, samahani kwa wale nitakaowakwaza, naombeni mnishauri jinsi kutoka kwenye huu mtego, naamini hunu kuna kila aina ya watu, wenye ufahamu mkubwa, wa kati na mdogo, karibuni napokea mawazo yenu yote.
ahsanteni sana
Afadhali avunjwe taya kuliko....Umeongea point chukua mofaya nalipa ye anadai demu anashawish nam nkampa go ahead akivunjwa taya hasara kwa nan
Sasa kumbe tatizo linaanzia kwako sio kwakeKwaKweli,Ni Mrembo Hasa
Wanawapenzi tayari ,nenda kwa walio single Ndiyo maana yake I think.hahhhahaha!aisee!ushauri mzuri sana huu...ila no 1 mm sijaelewa!kwamba wao hawafai kupednwa au vip! mkuu sio afya kukariri!