Ndio maana ukaitwa mwanaume pambana na hali yako acha ungese..[emoji35]Habarini za asubuhi wana jf, bila shaka mmmeamka salama hongereni kwa majukumu ya siku, kama mnavyokumbuka kuna kipindi nilileta mada kuhusu huyu workmate ambae ni mke wa mtu, samahani kwa wale nitakaowakwaza juu ya hili, nilijaribu kufuata ushauri wenu jinsi ya kumuepuka ila naona ni kama imeshindikana, nikimsalimia hivi hivi juu juu nikampita, analazimisha hug, sometmes hata kiss, nikisema nimnunie wapi, mara anaulize sijui una tatizo gani, mbona upo hivyo, tukiongea huwa naleta mazungumzo kuhusu mumewe, { ingawa simfahamu kihiivyo} anakuja juu na kuwa mkali, na kuniambia mabo ya mumewe hayanihusu,
Dhumuni la kuleta hapa hata mimi sifurahishwi na hili jambo, naogopa kumweleza, sijui atalipokeaje, hata nikiongea na simu au akiona sms kwenye simu yangu, lazima aniulize, anafatilia kuhusu jinsi nimevaaje, sijui nywele zimekua, punguza ndevu na ishu kama hizo, narudia tena, samahani kwa wale nitakaowakwaza, naombeni mnishauri jinsi kutoka kwenye huu mtego, naamini hunu kuna kila aina ya watu, wenye ufahamu mkubwa, wa kati na mdogo, karibuni napokea mawazo yenu yote.
ahsanteni sana
Kimbembe ni pale unapokuta mtuhumiwa ndiyo HR mwenyewe.Report HR kuhusu manyanyaso ya kimapenzi
Unakwenda kwa boss wakeKimbembe ni pale unapokuta mtuhumiwa ndiyo HR mwenyewe.
Unakwenda kwa boss wake
Tatizo kwenye societies zetu mwanamume anapo kwenda kulalamika against sexual advances za demu ni ngumu kuaminika kuliko demu akienda kushitaki. So kuna uwezekano mkubwa jamaa kibao akageuziwa yeye unless he has strong evidence to support his claims.Unakwenda kwa boss wake
Might be true, ila inaweza ikawa ni tamaa tuHuyo Dada naye awe anajiheshimu basi, kama alikurupuka kuingia kwenye ndoa na mtu asiyempenda atulie tu[emoji3] .
Nenda wote kwa walokole mkaokoke tamaa kwisheneyHabarini za asubuhi wana jf, bila shaka mmmeamka salama hongereni kwa majukumu ya siku, kama mnavyokumbuka kuna kipindi nilileta mada kuhusu huyu workmate ambae ni mke wa mtu, samahani kwa wale nitakaowakwaza juu ya hili, nilijaribu kufuata ushauri wenu jinsi ya kumuepuka ila naona ni kama imeshindikana, nikimsalimia hivi hivi juu juu nikampita, analazimisha hug, sometmes hata kiss, nikisema nimnunie wapi, mara anaulize sijui una tatizo gani, mbona upo hivyo, tukiongea huwa naleta mazungumzo kuhusu mumewe, { ingawa simfahamu kihiivyo} anakuja juu na kuwa mkali, na kuniambia mabo ya mumewe hayanihusu,
Dhumuni la kuleta hapa hata mimi sifurahishwi na hili jambo, naogopa kumweleza, sijui atalipokeaje, hata nikiongea na simu au akiona sms kwenye simu yangu, lazima aniulize, anafatilia kuhusu jinsi nimevaaje, sijui nywele zimekua, punguza ndevu na ishu kama hizo, narudia tena, samahani kwa wale nitakaowakwaza, naombeni mnishauri jinsi kutoka kwenye huu mtego, naamini hunu kuna kila aina ya watu, wenye ufahamu mkubwa, wa kati na mdogo, karibuni napokea mawazo yenu yote.
ahsanteni sana
Mwenza wangu anamsifia sana rafiki yangu - JamiiForumsHabarini za asubuhi wana jf, bila shaka mmmeamka salama hongereni kwa majukumu ya siku, kama mnavyokumbuka kuna kipindi nilileta mada kuhusu huyu workmate ambae ni mke wa mtu, samahani kwa wale nitakaowakwaza juu ya hili, nilijaribu kufuata ushauri wenu jinsi ya kumuepuka ila naona ni kama imeshindikana, nikimsalimia hivi hivi juu juu nikampita, analazimisha hug, sometmes hata kiss, nikisema nimnunie wapi, mara anaulize sijui una tatizo gani, mbona upo hivyo, tukiongea huwa naleta mazungumzo kuhusu mumewe, { ingawa simfahamu kihiivyo} anakuja juu na kuwa mkali, na kuniambia mabo ya mumewe hayanihusu,
Dhumuni la kuleta hapa hata mimi sifurahishwi na hili jambo, naogopa kumweleza, sijui atalipokeaje, hata nikiongea na simu au akiona sms kwenye simu yangu, lazima aniulize, anafatilia kuhusu jinsi nimevaaje, sijui nywele zimekua, punguza ndevu na ishu kama hizo, narudia tena, samahani kwa wale nitakaowakwaza, naombeni mnishauri jinsi kutoka kwenye huu mtego, naamini hunu kuna kila aina ya watu, wenye ufahamu mkubwa, wa kati na mdogo, karibuni napokea mawazo yenu yote.
ahsanteni sana
Habarini za asubuhi wana jf, bila shaka mmmeamka salama hongereni kwa majukumu ya siku, kama mnavyokumbuka kuna kipindi nilileta mada kuhusu huyu workmate ambae ni mke wa mtu, samahani kwa wale nitakaowakwaza juu ya hili, nilijaribu kufuata ushauri wenu jinsi ya kumuepuka ila naona ni kama imeshindikana, nikimsalimia hivi hivi juu juu nikampita, analazimisha hug, sometmes hata kiss, nikisema nimnunie wapi, mara anaulize sijui una tatizo gani, mbona upo hivyo, tukiongea huwa naleta mazungumzo kuhusu mumewe, { ingawa simfahamu kihiivyo} anakuja juu na kuwa mkali, na kuniambia mabo ya mumewe hayanihusu,