Habari wakuu. Niliweka hii post kule kwenye jukwaa na hoja mchanganyiko lakini sikupata jibu lolote. Nataka kuwekeza kwenye Exchange Traded Funds (ETF) lakini kampuni haina option kuwekeza kwa watu wasiokuwa wakazi wa Marekani. Kama kuna broker ambaye naweza kufungua akaunti kupitia kwake naomba tuwasiliane.