Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ahaa nimekuelewa kaka, Mm nguo lonya imenishinda kuiuza maana sina wateja wake niliwahi kule jeans flan hivi low quality zilikua bando 2 tu niliuza pc4 kwa miezi miwili nikampa jamaa yangu aniuzie the yuko mbali nami kidogo. Akazimaliza ndanibya mwezi. So mm wateja wa lonya sina kaka. Mf kadet huwa nachukua ya 15k na ya 19k jumla nauza 20k kwa 30k ndio nina wateja wake.Broe sio kebehi mimi mwenyewe ni muuza nguo tena nauza lonya Ninauza Dg Dar 10000 mimi nauza 11000 bei ya jumla nauza suruali 13000 Dar Nanunua 12000 Nineuliza kuhusu bei za soft jeans ili nipime bei zake kadeti tunachukua 12800 dar bei ya jumla Tunduma tunauza 13500 hadi 14000 ko nataka nijue Range ya Bei Zake