Bado natafuta mantiki ya kujenga hili Daraja la Kigongo - Busisi kwa Tshs. Bilioni 700

Unajitahidi kujifaarijiii wakati ni upigaji tu kama upigaji mwengine awake ya 5
 
Hivi kweli unaamka na akili zako unapinga daraja kama lile? Kwani hizi pesa zitaweza kudumu muda gani? Na daraja litadumu muda gani?
 
Kutengeneza reli ya kisasa ili nchi jirani watumie bandari yetu ingekua haina maana Kama mizigo ingekua inavushwa na kivuko. Ujenzi wa bandari kavu ya Fela na daraja la busisi havitenganishiki
 
Kutengeneza reli ya kisasa ili nchi jirani watumie bandari yetu ingekua haina maana Kama mizigo ingekua inavushwa na kivuko. Ujenzi wa bandari kavu ya Fela na daraja la busisi havitenganishiki
Watu ni wajinga....mnapoteza muda kuwajibu
 
Hivi huyo alishawahi kufika huko mwanza na geita au kahama ambako Daraja hilo linaunganisha? Anasema watu wanakipato cha chini? Aende Geita akawaulize vijana wa huko kipato chao alinganishe na hawa wa hapa Dar tujue ukweli!
 
Hawezi kuelewa hizi nondo ulizompa kwa sababu mtoa Mada ana Chuki binafsi baada ya kutumbuliwa kwa vyeti feki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…