bado natafuta muhogo

bado natafuta muhogo

jane_000

JF-Expert Member
Joined
Feb 9, 2012
Posts
547
Reaction score
43
wadau bado natafuta muhogo sijapata nipo njia panda sijui pale soko la kariako naweza kupata ?
 
mmh! muhogo vs tango kazi kwelikweli vipi kuhusi karoti

aah..... napita tu nitarudi baadae
 
Mamy gonga pm kwangu nitakupeleka hadi shamba.
 
Mpendwa, mihogo, matango, karoti, miwa , ndizi na vinginevyo vina wadudu siku hizi, uvile kwa kuviosha teha jiki au Omo, katu usile peku peku madonda yej kukutoka, raha uisahau
 
Masaki pale ilipo kuwa karibu hotel zamani
 
Njoo Mkuranga Mihogo ipo ya kumwaga.Lakini sijaua unataka muhogo wa aina gani?Mchungo,mtamu au wa jangombe?
 
Back
Top Bottom