Kadiri dunia inavyosonga mambo mengi yanabadilika sana vitu vingi vilivyokuwa utamaduni wa kawaida zamani kwa sasa vinapungua au kupotea kabisa, hasa hili suala la kumiliki sindano na uzi kwa ajili ya kurekebisha nguo pale zinapofumuka au kuchanika kidgo.
Nimegundua kuna baadhi ya watu hata kushona kwa sindano ya mkono hawajui kabisa, nguo ikifumuka aidha apeleke kwa fundi cherehani au aachane nayo kabisa kuivaa.
Je, wewe bado unatumia sindano ya mkono kurekebisha nguo a sio vitu vyako kabisa ikifumuka au kuchanika fundi lazima ahusikehapo, au ndio inakuwa dekio.