Smart Gang
JF-Expert Member
- Nov 16, 2022
- 2,013
- 3,406
Pole sana kaka
I feel your pain Buddy
I feel your pain Buddy
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pole sana, inauma sana, kila siku unajipa matumaini kwamba labda amesafiri atarudi, unapotembea unafikili umekatwa mabawa, Mali ulizonazo unaona hazina maana yeyote. Kupoteza Mama Ni kazi nzito sana.After I permanently lose someone very special, how do I, and should I even try to, keep from falling into despair?
Rest in internal peace my lovely Mom. Kweli sio kila anaecheka na wewe anakutakia mema.
I really miss my super and lovely Mom.
Unapokutana na mwanamke kimwili mwanamke skies danger period hapo huwa kuna roho ya Mungu na roho ya shetani, ndo maana unatakiwa kusali kabla ya kutunga mimba hili roho ya shetani isiingiye akazaliwa kama wewe, maana shetani naye anafanana na sura ya binadamu.lakini matendo yake utayajua tu.Mzazi aliekulea akifariki unaumia sana, but mimi nahisi kama ni binadamu ambae nina roho ya tofauti sana na binadam wengne aseeeh , sjaumbwa na roho ya kuumia hata akifariki ndugu yangu wa karibu [emoji17]
Jirani yangu alifiwa na baba, katika kulia anapiga ukunga akasema baba umeondoka mapema hata hujaona mjukuu dah nililia, iliniuma kuna hisia zilikuja kichwani dah kifo.Pole sana, inauma sana, kila siku unajipa matumaini kwamba labda amesafiri atarudi, unapotembea unafikili umekatwa mabawa, Mali ulizonazo unaona hazina maana yeyote. Kupoteza Mama Ni kazi nzito sana.
I felt this. [emoji120]Kifo hakina chaguo kama tungekuwa tunachagua ningechagua mama abaki Mungu anichukuwe mimi.
Mama amenitembelea mwezi mzima nakuta msosi tiyari asubuhi kuninyooshea nguo, amarudi home jana nahisi kuumwa hakuna kama mama.
Pole mkuu, pole wote walofiwa na wazazi na watu wao wa karibu, marafiki, poleni sana wakuu.
Ee Mungu tunakuomba wazazi wetu waishi umri mrefu, na wale walio tangulia akiwemo baba yangu, bibi zangu ,rafiki yangu queen wapumzike kwa amani.
Daah pole sana mkuu..!! Utalia karibu kila siku cha muhimu ni kumuombea na Kujikazaa mambo mengine yaende.Ni miezi mitatu sasa toka nimpoteze mwanangu, my handsome boy nilietegemea angekuja kunisaidia uzeeni, he left me at such young age .
Sometimes nahisi nakufa taratibu day after day
Asante. I will be finepole sana mkuu
Ni kweli kabisa . ni pigo ambalo halina replacement katika maisha. Najaribu kupotezea ila wapi. Ila yote ni kumuomba Mungu tu.Pole sana, inauma sana, kila siku unajipa matumaini kwamba labda amesafiri atarudi, unapotembea unafikili umekatwa mabawa, Mali ulizonazo unaona hazina maana yeyote. Kupoteza Mama Ni kazi nzito sana.
Pole sana kwa hilo katika yote ni kumuomba Mungu.Ni miezi mitatu sasa toka nimpoteze mwanangu, my handsome boy nilietegemea angekuja kunisaidia uzeeni, he left me at such young age .
Sometimes nahisi nakufa taratibu day after day