Nikifa MkeWangu Asiolewe
JF-Expert Member
- Feb 26, 2024
- 12,463
- 27,556
Chawa yoyote atakaye katisha mbele ya uzi wowote wa mtu mzalendo humu jukwaani na popote pale Nitampokea kama alivyokuja.
Tusileane asee waliokufa ni binadamu sio mbu wala siafu wale asee acheni kudharau damu za watu.
Kumbukeni waliokufa wengine wala si wana siasa wengine ni watoto miaka 7 halafu wewe unaleta kejeli hapa.
Kuna muda naamka usiku na jiuliza hawa watoto wana kosa gani kuzaliwa kwenye nchi yao?
Dogo wa miaka 13 muuza mayai ndo naambiwa leo kumbe nae alipigwa risasi na akafa hapohapo na mayai yake !
Yaani dogo aliacha shule ili amsaidie mama yake mahitaji kwa kuwa mama yule ni mgonjwa leo hii dogo kafa bila kosa lolote. Hasira zinazidi kuongezeka daily.
Nawaambiwa wote mnaocheka, kukejeli, kukaa kimya hakuna aliye salama ni muda tu walio uliwa ni binadamu kama wewe .......