Abdu_22
Member
- Feb 8, 2025
- 14
- 12
Mimi moja ya vijana wenye ndoto na Ulaya binafsi yangu sina connection yoyote ya kwenda huko ila nakumbuka zamani nikiwa shule ya msingi nilikuwa na ndoto za kupata mwanamke wa KIZUNGU Ili iwe rahisi mm kufika huko, mpaka sasa kiukwel sijui hata huyo mzungu nampatia wapi.
Nimewasilisha hili Ili mwenye mchango wowote kama sio wa nauli ya jet🤣 basi hata nitumie njia gani kufanikisha ndoto zangu.
Nimewasilisha hili Ili mwenye mchango wowote kama sio wa nauli ya jet🤣 basi hata nitumie njia gani kufanikisha ndoto zangu.