Bado nipo Arusha, bata limeninogea

Kheri Hansen

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2018
Posts
1,025
Reaction score
1,238
Wakuu hamjambo?

Nilitegemea kurudi [HASHTAG]#DarCityBaby[/HASHTAG] ila kila nikikumbuka hilo joto, na mikelele, na mji ulivyojaa matapeli, kwakweli nakosa hamu. Ila sababu kubwa ni Bata kuninogea hapa Arusha city, kwakweli huu mji ni Paradise ndogo.

Hujakaa sawa toto la kichaga hili hapa, ukiangalia kulia kuna hafcast wa kimarekani na kibongo unachat chat nae, hujashusha glass mara muhudumu anabadilishana nigh shift na mchina....tchaaaa

Nimetembelea viwanja ila naona ni vingi mnooo wadau, nilianza Zest, Pin Point, Viavia, Figgy Tree, nk...yaani nikaona nipumzike maana ni full raha, hali ya hewa inabamba, madon hayana stress, kwakeli nataka nihamie huku.

Pia nimenotice Trending news za Dar huku hazipewi shobo kabisa, yaani watu hawana time na udaku au big news sijui Lulu kaachiwa, mara Kiba amekwama YouTube, au sijui Magufuli katisha watu tena, yaani huku ni kama watu na nchi yao na mambo yao.

Arusha tamu sana. Niishie hapo
 
"Yaani huku ni kama watu na nchi yao na mambo yao". Uko sahihi mkuu, huku watu hawashoboki na trending news za bongo, kila mtu na mambo yake ndiyo maana hata RC amecope na hali ya huku, huwezi msikia kwenye media mara kwa mara. Ametulia anapiga kazi tu.
 
Arushaa raha watu wako bize na shughulii zao, mimi pekee yako ndio nipo Jf cz nimetokea Dar
 
Mkuu bado hujaiona arusha huko ni viwanja vichafu ,supu asubuhi kapige stadium bar au ppicnic bar/mchana kale rose garden club ,bot club kisha pita the fuzz kisha mjengoni olasity hutakaa urudi dar
 
Mkuu bado hujaiona arusha huko ni viwanja vichafu ,supu asubuhi kapige stadium bar au ppicnic bar/mchana kale rose garden club ,bot club kisha pita the fuzz kisha mjengoni olasity hutakaa urudi dar
Hii The Fuzz Itabuma siku sio nying
 
uko wapi mkuu nikulete nyumbani kidogo nikuzungushe na maeneo huta jutia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…