Kheri Hansen
JF-Expert Member
- Jan 20, 2018
- 1,025
- 1,238
Wakuu hamjambo?
Nilitegemea kurudi [HASHTAG]#DarCityBaby[/HASHTAG] ila kila nikikumbuka hilo joto, na mikelele, na mji ulivyojaa matapeli, kwakweli nakosa hamu. Ila sababu kubwa ni Bata kuninogea hapa Arusha city, kwakweli huu mji ni Paradise ndogo.
Hujakaa sawa toto la kichaga hili hapa, ukiangalia kulia kuna hafcast wa kimarekani na kibongo unachat chat nae, hujashusha glass mara muhudumu anabadilishana nigh shift na mchina....tchaaaa
Nimetembelea viwanja ila naona ni vingi mnooo wadau, nilianza Zest, Pin Point, Viavia, Figgy Tree, nk...yaani nikaona nipumzike maana ni full raha, hali ya hewa inabamba, madon hayana stress, kwakeli nataka nihamie huku.
Pia nimenotice Trending news za Dar huku hazipewi shobo kabisa, yaani watu hawana time na udaku au big news sijui Lulu kaachiwa, mara Kiba amekwama YouTube, au sijui Magufuli katisha watu tena, yaani huku ni kama watu na nchi yao na mambo yao.
Arusha tamu sana. Niishie hapo