wadzelino
JF-Expert Member
- Sep 16, 2019
- 225
- 385
Wasalaaam! Wana JF popote mlipo!
Binafsi naona timu hizi mbili(Yanga na Simba) Wanapendelewa kwenye Ratiba kwani sioni sababu za msingi kuzipa timu zaidi ya wiki kujiandaa eti kisa ni Dabi ya Kariakoo, mwisho upande fulani unajinasibu una timu nzuri kumbe siyo ni ujinga tu, Ipangwe Ratiba iliyo fair nadhani hapo ndo tutajua nani ana uwezo, wiki nzima maandalizi halafu watu wanafichwa mpaka hawaonekani, mfano wanaojiita wanajua waanze wao kwa wao, au hata na namungo, prison,kwenu bodi ya ligi angalieni hili, maana mimi kwa kujiandaa kule uwezo ule huwa si halali!