Bado Ratiba Haipo Fair Kwa Simba na Yanga

wadzelino

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2019
Posts
225
Reaction score
385
Wasalaaam! Wana JF popote mlipo!
Binafsi naona timu hizi mbili(Yanga na Simba) Wanapendelewa kwenye Ratiba kwani sioni sababu za msingi kuzipa timu zaidi ya wiki kujiandaa eti kisa ni Dabi ya Kariakoo, mwisho upande fulani unajinasibu una timu nzuri kumbe siyo ni ujinga tu, Ipangwe Ratiba iliyo fair nadhani hapo ndo tutajua nani ana uwezo, wiki nzima maandalizi halafu watu wanafichwa mpaka hawaonekani, mfano wanaojiita wanajua waanze wao kwa wao, au hata na namungo, prison,kwenu bodi ya ligi angalieni hili, maana mimi kwa kujiandaa kule uwezo ule huwa si halali!
 
Hivi huwezi kukaa na Mwijaku akakuelekeza cha kuandika maana hata wewe mwenyewe hujui umeandika nini??
 
Njoo na ile ID yako ya zamani kwanza kisha jifunze kuwek Aya
 
Wasalaaam! Wana JF popote mlipo!
Binafsi naona timu hizi mbili(Yanga na Simba) Wanapendelewa kwenye Ratiba kwani sioni sababu za msingi kuzipa timu zaidi ya wiki kujiandaa eti kisa ni Dabi ya Kariakoo, mwisho upande fulani unajinasibu una timu nzuri kumbe siyo ni ujinga tu, Ipangwe Ratiba iliyo fair nadhani hapo ndo tutajua nani ana uwezo, wiki nzima maandalizi halafu watu wanafichwa mpaka hawaonekani, mfano wanaojiita wanajua waanze wao kwa wao, au hata na namungo, prison,kwenu bodi ya ligi angalieni hili, maana mimi kwa kujiandaa kule uwezo ule huwa si halali!
Ungekuwa unayjua mchezo wa mpira wa miguu, ungegundua kati ya Yanga aliyekaa takribani siku kumi pasipo kucheza mechi ya kiushandi na simba ambao wamekaa siku tano bila mechi ya kiushandi ni yupo anayenufaika kwa kuwa na match fitness zaidi ya mwenzie
 
Wasalaaam! Wana JF popote mlipo!
Binafsi naona timu hizi mbili(Yanga na Simba) Wanapendelewa kwenye Ratiba kwani sioni sababu za msingi kuzipa timu zaidi ya wiki kujiandaa eti kisa ni Dabi ya Kariakoo, mwisho upande fulani unajinasibu una timu nzuri kumbe siyo ni ujinga tu, Ipangwe Ratiba iliyo fair nadhani hapo ndo tutajua nani ana uwezo, wiki nzima maandalizi halafu watu wanafichwa mpaka hawaonekani, mfano wanaojiita wanajua waanze wao kwa wao, au hata na namungo, prison,kwenu bodi ya ligi angalieni hili, maana mimi kwa kujiandaa kule uwezo ule huwa si halali!
Iliyejinasibu kuwa ana timu nzuri ana timu nzuri kweli lkn principal ya Derby inajulikana kuwa timu underdog ndiye anayetambaga...by the way hakuna aliyefichwa jana takwimu za mtu mmoja mmoja bado zinawabeba hao unaosema walifichwa.

Hawa wengine walionekana wana uhai coz waliipania game.
 
Huwa tunaruka ruka sana, ila mpira wa nchi hii ni Simba na Yanga.
Ukiondoa Simba binafsi ntaacha kufuatilia ligi ya bongo.
Hii ndio namna yetu ya mpira, waache wapewe huo mdaa wajiandae.
Maana hata wadhamini wanaletwa na simba na Yanga. Ondoa Simba na Yanga uone kama kuna mtu ataweka hata elfu mbili kudhamini hii ligi.
 
Rudia kosoma upya principles za uandishi, ndio urudi tena kuwasilisha upya uzi wako wa kipumbavu
 
Iliyejinasibu kuwa ana timu nzuri ana timu nzuri kweli lkn principal ya Derby inajulikana kuwa timu underdog ndiye anayetambaga...by the way hakuna aliyefichwa jana takwimu za mtu mmoja mmoja bado zinawabeba hao unaosema walifichwa.

Hawa wengine walionekana wana uhai coz waliipania game.
Sawa, wambie wenzio mkikosa Ubingwa tuulizwe sisi!
 
Back
Top Bottom