Hivi huwezi kukaa na Mwijaku akakuelekeza cha kuandika maana hata wewe mwenyewe hujui umeandika nini??Wasalaaam! Wana JF popote mlipo!
Binafsi naona timu hizi mbili(Yanga na Simba) Wanapendelewa kwenye Ratiba kwani sioni sababu za msingi kuzipa timu zaidi ya wiki kujiandaa eti kisa ni Dabi ya Kariakoo, mwisho upande fulani unajinasibu una timu nzuri kumbe siyo ni ujinga tu, Ipangwe Ratiba iliyo fair nadhani hapo ndo tutajua nani ana uwezo, wiki nzima maandalizi halafu watu wanafichwa mpaka hawaonekani, mfano wanaojiita wanajua waanze wao kwa wao, au hata na namungo, prison,kwenu bodi ya ligi angalieni hili, maana mimi kwa kujiandaa kule uwezo ule huwa si halali!
Ungekuwa unayjua mchezo wa mpira wa miguu, ungegundua kati ya Yanga aliyekaa takribani siku kumi pasipo kucheza mechi ya kiushandi na simba ambao wamekaa siku tano bila mechi ya kiushandi ni yupo anayenufaika kwa kuwa na match fitness zaidi ya mwenzieWasalaaam! Wana JF popote mlipo!
Binafsi naona timu hizi mbili(Yanga na Simba) Wanapendelewa kwenye Ratiba kwani sioni sababu za msingi kuzipa timu zaidi ya wiki kujiandaa eti kisa ni Dabi ya Kariakoo, mwisho upande fulani unajinasibu una timu nzuri kumbe siyo ni ujinga tu, Ipangwe Ratiba iliyo fair nadhani hapo ndo tutajua nani ana uwezo, wiki nzima maandalizi halafu watu wanafichwa mpaka hawaonekani, mfano wanaojiita wanajua waanze wao kwa wao, au hata na namungo, prison,kwenu bodi ya ligi angalieni hili, maana mimi kwa kujiandaa kule uwezo ule huwa si halali!
Iliyejinasibu kuwa ana timu nzuri ana timu nzuri kweli lkn principal ya Derby inajulikana kuwa timu underdog ndiye anayetambaga...by the way hakuna aliyefichwa jana takwimu za mtu mmoja mmoja bado zinawabeba hao unaosema walifichwa.Wasalaaam! Wana JF popote mlipo!
Binafsi naona timu hizi mbili(Yanga na Simba) Wanapendelewa kwenye Ratiba kwani sioni sababu za msingi kuzipa timu zaidi ya wiki kujiandaa eti kisa ni Dabi ya Kariakoo, mwisho upande fulani unajinasibu una timu nzuri kumbe siyo ni ujinga tu, Ipangwe Ratiba iliyo fair nadhani hapo ndo tutajua nani ana uwezo, wiki nzima maandalizi halafu watu wanafichwa mpaka hawaonekani, mfano wanaojiita wanajua waanze wao kwa wao, au hata na namungo, prison,kwenu bodi ya ligi angalieni hili, maana mimi kwa kujiandaa kule uwezo ule huwa si halali!
Sawa, wambie wenzio mkikosa Ubingwa tuulizwe sisi!Iliyejinasibu kuwa ana timu nzuri ana timu nzuri kweli lkn principal ya Derby inajulikana kuwa timu underdog ndiye anayetambaga...by the way hakuna aliyefichwa jana takwimu za mtu mmoja mmoja bado zinawabeba hao unaosema walifichwa.
Hawa wengine walionekana wana uhai coz waliipania game.