jimmyfoxxgongo
JF-Expert Member
- Jan 23, 2013
- 5,352
- 9,329
Umeoa?Haji Manara ni mtoto wa Sunday Manara " Computer " Legendary wa Dar Es Salaam Young Africans of all the time.
Haji Manara kama mtoto wa Legendary wa Dar Young Africans ambae almost utoto wake wote amekua akimshuhudia baba yake kama Mchezaji wa kutegemewa wa Yanga, nilitegemea angekuwa shabiki wa Yanga but I am.surprised that imekuwa the opposite.
Ni sawa na mtoto wa Sheikh Mkuu wa mkoa kuwa Askofu Mkuu wa Kanisa.
Watu wengi tunao shabikia Simba na Yanga ni kwa sababu tumewakuta baba zetu wakishabikia timu hizo. Tumerithi kama dini vile.
Mimi ni shabiki wa Yanga kwa sababu nimezaliwa nikimkuta baba yangu ana shabikia Yanga.
Na mimi nikaanza kuipenda Yanga kwa sababu ya kumfuata baba.
Every member of our family is royal to Dar Young Africans.
We are royal to Yanga probably because we are loyal to our father.
Mwaka 97 nikiwa darasa la sita nikaanza kuishabikia Arsenal. I introduced Arsenal to my father soon there after and he started to support Arsenal instantly probably because he was reciprocating my royalty to him.
Back to Haji Manara . Unaweza kutolea maelezo hili? How comes baba ako alikuwa Legendary wa Yanga halafu umekuwa shabiki na msemaji wa Simba.
This is not royal bro.
Mimi niliipenda Yanga simply kwa sababu baba yangu alikuwa shabiki wa Yanga seuze wewe ambae baba yako alikuwa anaichezea kabisa Yanga!!!
Whats up bro?
Unafananisha mafuta ya taa na maji..Hueleweki Mara mwaka 90 Mara 92/93..Which is which and which is not which? Anyway probably wewe ni mtoto wa nje ..Hujakua na baba ako. Haiwezekani baba ako awe Yanga wewe uwe Simba. Hakunaga kitu kama hicho ni sawa na na kusema ulianza kumpenda Yesu ukiwa na miaka mitatu wakati baba ako alikuwa mwalimu wa madrassa
Sio kila timu unamfumo was mchango. Barcelona anao, Arsenal hana. Simba na Yanga wanao, Kagera Sugar hana.Cha ajabu hapa hakuna hata mmoja anayelipia fee yake ya uanachama huko Simba/Yanga ila wote mnasema mnazipenda hizo timu.
Tofauti kati ya Mpenzi vs Mshabiki inabidi iwekwe bayana.
Kwa mujibu wa Haji Manara mwenyewe, amelelewa na babu yake pia. Babu yake alikuwa Mwenyekiti wa Simba.Haji Manara ni mtoto wa Sunday Manara " Computer " Legendary wa Dar Es Salaam Young Africans of all the time.
Haji Manara kama mtoto wa Legendary wa Dar Young Africans ambae almost utoto wake wote amekua akimshuhudia baba yake kama Mchezaji wa kutegemewa wa Yanga, nilitegemea angekuwa shabiki wa Yanga but I am.surprised that imekuwa the opposite.
Ni sawa na mtoto wa Sheikh Mkuu wa mkoa kuwa Askofu Mkuu wa Kanisa.
Watu wengi tunao shabikia Simba na Yanga ni kwa sababu tumewakuta baba zetu wakishabikia timu hizo. Tumerithi kama dini vile.
Mimi ni shabiki wa Yanga kwa sababu nimezaliwa nikimkuta baba yangu ana shabikia Yanga.
Na mimi nikaanza kuipenda Yanga kwa sababu ya kumfuata baba.
Every member of our family is royal to Dar Young Africans.
We are royal to Yanga probably because we are loyal to our father.
Mwaka 97 nikiwa darasa la sita nikaanza kuishabikia Arsenal. I introduced Arsenal to my father soon there after and he started to support Arsenal instantly probably because he was reciprocating my royalty to him.
Back to Haji Manara . Unaweza kutolea maelezo hili? How comes baba ako alikuwa Legendary wa Yanga halafu umekuwa shabiki na msemaji wa Simba.
This is not royal bro.
Mimi niliipenda Yanga simply kwa sababu baba yangu alikuwa shabiki wa Yanga seuze wewe ambae baba yako alikuwa anaichezea kabisa Yanga!!!
Whats up bro?
Tofauti ..unajua Beckham kwao London..Manchester alienda kucheza mpira tu...probably child hood timu yake sio Manchester United...hivyo Becs ni Arsenal ndio maana mtoto kashindwa kujificha..Haji kacheza mpaka Yanga kids ni fursa za maisha tu...Mie father Yanga lialia. Ila mie Simba. Ilikuwa hivyo baada ya kukuta Simba inafanya vizuri sana 1992/1993.
Hivi unajua mmoja wapo ya watoto wa Beckham ni shabiki kindakindaki wa Arsenal wakati kamuona baba anakipiga Man U?
Sent using Jamii Forums mobile app
Duh! miaka miwili badae mwenzio ndo nikaanza darasa la kwanza. shikamoo kaka.Mwaka 97
Baba ako hakuwa shabiki kindakindaki wa mpira ..angekuwa shabiki wa mpira haswa haswa lazima ungefuata timu yake tu...but kwakuwa hakuwa na interest yoyote na mpira obviously lazima ungefuata timu yakeBasi wewe unashida, sisi wengine tunachagua wenyewe kipi tukipende kipi tukiache. Mzee wangu hata sijui you team gani pamba au meko.
Ila mimi ni shabiki wa simba ninayetumia akili siyo wale lialia, kwenye ukweli yeye ananisha tu.
Hata mke nachagua mwenyewe!
Kwa kifupi mimi ni "team sipangiwi"
Haji Manara ni mtoto wa Sunday Manara " Computer " Legendary wa Dar Es Salaam Young Africans of all the time.
Haji Manara kama mtoto wa Legendary wa Dar Young Africans ambae almost utoto wake wote amekua akimshuhudia baba yake kama Mchezaji wa kutegemewa wa Yanga, nilitegemea angekuwa shabiki wa Yanga but I am.surprised that imekuwa the opposite.
Ni sawa na mtoto wa Sheikh Mkuu wa mkoa kuwa Askofu Mkuu wa Kanisa.
Watu wengi tunao shabikia Simba na Yanga ni kwa sababu tumewakuta baba zetu wakishabikia timu hizo. Tumerithi kama dini vile.
Mimi ni shabiki wa Yanga kwa sababu nimezaliwa nikimkuta baba yangu ana shabikia Yanga.
Na mimi nikaanza kuipenda Yanga kwa sababu ya kumfuata baba.
Every member of our family is royal to Dar Young Africans.
We are royal to Yanga probably because we are loyal to our father.
Mwaka 97 nikiwa darasa la sita nikaanza kuishabikia Arsenal. I introduced Arsenal to my father soon there after and he started to support Arsenal instantly probably because he was reciprocating my royalty to him.
Back to Haji Manara . Unaweza kutolea maelezo hili? How comes baba ako alikuwa Legendary wa Yanga halafu umekuwa shabiki na msemaji wa Simba.
This is not royal bro.
Mimi niliipenda Yanga simply kwa sababu baba yangu alikuwa shabiki wa Yanga seuze wewe ambae baba yako alikuwa anaichezea kabisa Yanga!!!
Whats up bro?
Sijala kaka, hali teteMaharage umeshiba?
At least I understand now kumbe alilelewa na babu? I was so confused . Thanx for unconfusiding meKwa mujibu wa Haji Manara mwenyewe, amelelewa na babu yake pia. Babu yake alikuwa Mwenyekiti wa Simba.
Ukiwa huyaelewi mapenzi na wasta (influence) ya babu kwa mjukuu anaemlea utakuwa mchawi.
Kwani baba au mama yako akiwa Mwizi na mtoto lazima awe hivyo?Haji Manara ni mtoto wa Sunday Manara " Computer " Legendary wa Dar Es Salaam Young Africans of all the time.