Kinyonyoke
JF-Expert Member
- Oct 4, 2016
- 3,498
- 13,138
Its just a matter of choice
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Babu yake mzaa mama ndo sliyemlea na alikuwa kiongozi wa simba.Hata hivyo Haji alikataliwa kujiunga na Yanga kids.Haji Manara ni mtoto wa Sunday Manara " Computer " Legendary wa Dar Es Salaam Young Africans of all the time.
Haji Manara kama mtoto wa Legendary wa Dar Young Africans ambae almost utoto wake wote amekua akimshuhudia baba yake kama Mchezaji wa kutegemewa wa Yanga, nilitegemea angekuwa shabiki wa Yanga but I am.surprised that imekuwa the opposite.
Ni sawa na mtoto wa Sheikh Mkuu wa mkoa kuwa Askofu Mkuu wa Kanisa.
Watu wengi tunao shabikia Simba na Yanga ni kwa sababu tumewakuta baba zetu wakishabikia timu hizo. Tumerithi kama dini vile.
Mimi ni shabiki wa Yanga kwa sababu nimezaliwa nikimkuta baba yangu ana shabikia Yanga.
Na mimi nikaanza kuipenda Yanga kwa sababu ya kumfuata baba.
Every member of our family is royal to Dar Young Africans.
We are royal to Yanga probably because we are loyal to our father.
Mwaka 97 nikiwa darasa la sita nikaanza kuishabikia Arsenal. I introduced Arsenal to my father soon there after and he started to support Arsenal instantly probably because he was reciprocating my royalty to him.
Back to Haji Manara . Unaweza kutolea maelezo hili? How comes baba ako alikuwa Legendary wa Yanga halafu umekuwa shabiki na msemaji wa Simba.
This is not royal bro.
Mimi niliipenda Yanga simply kwa sababu baba yangu alikuwa shabiki wa Yanga seuze wewe ambae baba yako alikuwa anaichezea kabisa Yanga!!!
Whats up bro?
Asante sana mtaniHongereni sana watani. U deserved it. Hakuna timu naikubali kama ambayo imetoka kufungwa goli nyingi but ikafanikiwa kushinda mechi iliyo fuata..Meaning wachezaji hawakukubali kuathiriwa kisaikolojia na Matokeo ya mechi walivyo fungwa goli nyingi
Mtoto wa DROGBA pia ni shabiki wa Arsenal coz ni timu ya WATOTO.Mie father Yanga lialia. Ila mie Simba. Ilikuwa hivyo baada ya kukuta Simba inafanya vizuri sana 1992/1993.
Hivi unajua mmoja wapo ya watoto wa Beckham ni shabiki kindakindaki wa Arsenal wakati kamuona baba anakipiga Man U?
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo baba mtu mwenyewe alikuwa ni mpenz wa arsenal utotoni kabla ya kuanza kusakata kabumbu la kiprofesho.. Didier alikuwa arsenal damuMtoto wa DROGBA pia ni shabiki wa Arsenal coz ni timu ya WATOTO.
ngungHueleweki Mara mwaka 90 Mara 92/93..Which is which and which is not which? Anyway probably wewe ni mtoto wa nje ..Hujakua na baba ako. Haiwezekani baba ako awe Yanga wewe uwe Simba. Hakunaga kitu kama hicho ni sawa na na kusema ulianza kumpenda Yesu ukiwa na miaka mitatu wakati baba ako alikuwa mwalimu wa madrassa
HAMNA SHIDA ILA HAJAICHEZEA ARSENAL NA KILA AKIKUTANA NA TIMU YAKE YA "UTOTONI" LAZIMA AIFUNGE, KAJIWEKEA REKODI YA KUTOFAUTISHA MATAMANIO YA UTOTONI YA REALITY YA UKUBWANI 😀😀😀😀😀😀Huyo baba mtu mwenyewe alikuwa ni mpenz wa arsenal utotoni kabla ya kuanza kusakata kabumbu la kiprofesho.. Didier alikuwa arsenal damu
Sent using my nokia ya tochi
HAMNA SHIDA ILA HAJAICHEZEA ARSENAL NA KILA AKIKUTANA NA TIMU YAKE YA "UTOTONI" LAZIMA AIFUNGE, KAJIWEKEA REKODI YA KUTOFAUTISHA MATAMANIO YA UTOTONI YA REALITY YA UKUBWANI 😀😀😀😀😀😀
Katufunga sana huyo jamaa halafu Wenger fala sana alimchomoleaga Droga alikuwa anataka kusign ArsenalHivi unajua kwanini wanasoka wengi wanasema utotoni walikuwa wanapenda timu fulani, hii ni kuweka mipaka baina ya pesa na mapenzi, ila kiukweli bado wanakuwa wanazipenda timu zao, ni vile wanakuwa wanalipwa pesa hawez kusema napenda arsenal wakat yupo chelsea, ni sawa ufanye kazi tigo halafu utangaze hadharani unatumia voda..
Drogba anaipenda arsenal mpaka kesho, vile vichembe chembe haviishi.
Sent using my nokia ya tochi
WAFANYAKAZI WA TIGO KIBAO WANA LINE ZA VODA NA AIRTEL AND VICE VERSE IS TRUEHivi unajua kwanini wanasoka wengi wanasema utotoni walikuwa wanapenda timu fulani, hii ni kuweka mipaka baina ya pesa na mapenzi, ila kiukweli bado wanakuwa wanazipenda timu zao, ni vile wanakuwa wanalipwa pesa hawez kusema napenda arsenal wakat yupo chelsea, ni sawa ufanye kazi tigo halafu utangaze hadharani unatumia voda..
Drogba anaipenda arsenal mpaka kesho, vile vichembe chembe haviishi.
Sent using my nokia ya tochi
Labda mama yake alikua Simba, ndio maana anaipenda simba. Sio lazima kwamba baba yako akiwa dokta nawe uwe dokta, unaweza kuwa mwalimu, may be because mama yako alikuwa Mwalimu au kuna mwalimu anakukosha namna anavyofundisha au labda unapenda kuona watoto wakifaulu. Inshort sababu ni nyingi.Haji Manara ni mtoto wa Sunday Manara " Computer " Legendary wa Dar Es Salaam Young Africans of all the time.
Haji Manara kama mtoto wa Legendary wa Dar Young Africans ambae almost utoto wake wote amekua akimshuhudia baba yake kama Mchezaji wa kutegemewa wa Yanga, nilitegemea angekuwa shabiki wa Yanga but I am.surprised that imekuwa the opposite.
Ni sawa na mtoto wa Sheikh Mkuu wa mkoa kuwa Askofu Mkuu wa Kanisa.
Watu wengi tunao shabikia Simba na Yanga ni kwa sababu tumewakuta baba zetu wakishabikia timu hizo. Tumerithi kama dini vile.
Mimi ni shabiki wa Yanga kwa sababu nimezaliwa nikimkuta baba yangu ana shabikia Yanga.
Na mimi nikaanza kuipenda Yanga kwa sababu ya kumfuata baba.
Every member of our family is royal to Dar Young Africans.
We are royal to Yanga probably because we are loyal to our father.
Mwaka 97 nikiwa darasa la sita nikaanza kuishabikia Arsenal. I introduced Arsenal to my father soon there after and he started to support Arsenal instantly probably because he was reciprocating my royalty to him.
Back to Haji Manara . Unaweza kutolea maelezo hili? How comes baba ako alikuwa Legendary wa Yanga halafu umekuwa shabiki na msemaji wa Simba.
This is not royal bro.
Mimi niliipenda Yanga simply kwa sababu baba yangu alikuwa shabiki wa Yanga seuze wewe ambae baba yako alikuwa anaichezea kabisa Yanga!!!
Whats up bro?
Mkuu hajj yuko kazini kule,na ndio maana hata mwanae wa kumzaa mwenyewe ni Yanga na wala afichi kama mwanae ni Yanga,juzi hapa kazindua perfum zake unadhani bila uwepo wake wa kuwa mkiani nani angemjua hadi leo hii kufikia hatua kama ile,yy mwenyewe binafsi anaishukuru sana mikia kwa kumpa fursa kama ile (usemaji wa mikia)akiwa ni albino while kuna kituo kikubwa cha redio na tv lkn mwenyewe akitaji,kishawahi kukataa kumpa ajira kutokana na ualbino wake huku akiwa amepita kwenye interviewHueleweki Mara mwaka 90 Mara 92/93..Which is which and which is not which? Anyway probably wewe ni mtoto wa nje ..Hujakua na baba ako. Haiwezekani baba ako awe Yanga wewe uwe Simba. Hakunaga kitu kama hicho ni sawa na na kusema ulianza kumpenda Yesu ukiwa na miaka mitatu wakati baba ako alikuwa mwalimu wa madrassa
Ni Cruz,not Brookly... Romeo yeye mcheza dance hatari sana.....
Sent using Jamii Forums mobile app[/QUOTE mkuu ni brooklyn ndo shabiki wa arsenal sio romeo, kwa undani zaidi brooklyn kuna wakati alishafanya trial katika timu ya watoto ya arsenal kabla ya kuachana na mpira na kugeukia u model. Kwa kuongezea broklyn kaziliwa westminster jijini London ambako pia ni nyumbani kwa washika bunduki wa zamani highbury kwa sasa emirates Arsenal
WAFANYAKAZI WA TIGO KIBAO WANA LINE ZA VODA NA AIRTEL AND VICE VERSE IS TRUE
Lunya tuko naye huku mbez mkuu hata Abubakary salum sure boy yle orignalMimi ni Yanga damu tena ile kindaki kindaki,
Lakini mzee wangu, kaka , wadogo zangu wote ni Simba....
Binafsi nilianza kupenda Yanga baada ya kumuona Edibily Lunyamila katika mashindano ya kule Uganda 1999 , alikua mwepesi ajabu na chenga za maudhi, nikauliza yule anacheza timu gani nikaambiwa ni Yanga, basi nami nikawa Yanga....
Kuna siku mwenzetu chuoni alifiwa na baba yake kule mbezi ya kimara, tupo msibani nikamuona Lunyamila hakika nilifurahi sana
Yanga oyeee tukutane jmosi
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa mkuu, huyo ni shujaa wangu nilifurahi kumuona ingawa soka la bongo halijamtendea hakiLunya tuko naye huku mbez mkuu hata Abubakary salum sure boy yle orignal
Sent using Jamii Forums mobile app