Bado sielewi imekuwa kuwaje hadi Haji Manara akawa shabiki wa Simba

Tofauti ..unajua Beckham kwao London..Manchester alienda kucheza mpira tu...probably child hood timu yake sio Manchester United...hivyo Becs ni Arsenal ndio maana mtoto kashindwa kujificha..Haji kacheza mpaka Yanga kids ni fursa za maisha tu...
Yap beck ni arsenal ,hata kuna kipind alikuwa anafanyia mazoez hapo colney arsenal ,na nadhan ndio maana mtoto kamrith,

Ni sawa na edo , kile kitoto chake ni arsenal lia lia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
1)Pengine baba alikua anacheza yanga lkn kwenye moyowake alikua ni simba..

2)Abdallah bin kleb akiwa mdogo baba yake ni simba akienda nae uwanjani yy anashangilia yanga,

3)mm ni simba damu lkn baba yangu ni yanga kindakindaki,..

4)mm ni shabiki wa arsnal lkn mtoto wangu wa miaka 10 yy ni chelsie wa wa mpaka analia,,,
,,,Yote yanawezekana,,,,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni kama Mimi nlivo mshabiki wako na hata sijuagi why!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Babu yake mzaa mama alikuwa Mwenyekiti wa Simba
 
Nakubaliana na wewe
 
Simba hoyeeeee
Hongereni sana watani. U deserved it. Hakuna timu naikubali kama ambayo imetoka kufungwa goli nyingi but ikafanikiwa kushinda mechi iliyo fuata..Meaning wachezaji hawakukubali kuathiriwa kisaikolojia na Matokeo ya mechi walivyo fungwa goli nyingi
 
Very interesting
Next time ukikutana NAE mwambie akusimulie kisa cha mashabiki watoto wa Yanga kudhani yeye ni mzungu
Ni hivi Sunday Manara alikuwaga anaenda na Haji mazoezini. Basi watoto walikuwa wakimuona Haji kwenye gari la baba ake they were like " computer ana mtoto mzungu.kazaa na mwanamke wa kizungu"
 
Hahahahaaa.. nitamwambia anieleze. Mwenyewe anajiitaga mwarabu
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…