Bado sielewi imekuwa kuwaje hadi Haji Manara akawa shabiki wa Simba

Babu yake mzaa mama ndo sliyemlea na alikuwa kiongozi wa simba.Hata hivyo Haji alikataliwa kujiunga na Yanga kids.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hongereni sana watani. U deserved it. Hakuna timu naikubali kama ambayo imetoka kufungwa goli nyingi but ikafanikiwa kushinda mechi iliyo fuata..Meaning wachezaji hawakukubali kuathiriwa kisaikolojia na Matokeo ya mechi walivyo fungwa goli nyingi
Asante sana mtani
 
Mtoto wa DROGBA pia ni shabiki wa Arsenal coz ni timu ya WATOTO.
 
Sababu huwa ni tofauti, ila cha kuchekesha tu ni kuwa mtoto wa manara ni yanga damu damu..
Cr7 aishawahi kukiri kuwa mwanae ni mpenz wa messi..
Mtoto wa beckham, cruz km sikosei ni shabiki wa arsenal

Sent using my nokia ya tochi
 
umekung'uta kama goli la kagere kwa al ahly

ngung
 
Huyo baba mtu mwenyewe alikuwa ni mpenz wa arsenal utotoni kabla ya kuanza kusakata kabumbu la kiprofesho.. Didier alikuwa arsenal damu

Sent using my nokia ya tochi
HAMNA SHIDA ILA HAJAICHEZEA ARSENAL NA KILA AKIKUTANA NA TIMU YAKE YA "UTOTONI" LAZIMA AIFUNGE, KAJIWEKEA REKODI YA KUTOFAUTISHA MATAMANIO YA UTOTONI YA REALITY YA UKUBWANI 😀😀😀😀😀😀
 
Hivi unajua kwanini wanasoka wengi wanasema utotoni walikuwa wanapenda timu fulani, hii ni kuweka mipaka baina ya pesa na mapenzi, ila kiukweli bado wanakuwa wanazipenda timu zao, ni vile wanakuwa wanalipwa pesa hawez kusema napenda arsenal wakat yupo chelsea, ni sawa ufanye kazi tigo halafu utangaze hadharani unatumia voda..

Drogba anaipenda arsenal mpaka kesho, vile vichembe chembe haviishi.
HAMNA SHIDA ILA HAJAICHEZEA ARSENAL NA KILA AKIKUTANA NA TIMU YAKE YA "UTOTONI" LAZIMA AIFUNGE, KAJIWEKEA REKODI YA KUTOFAUTISHA MATAMANIO YA UTOTONI YA REALITY YA UKUBWANI 😀😀😀😀😀😀

Sent using my nokia ya tochi
 
Katufunga sana huyo jamaa halafu Wenger fala sana alimchomoleaga Droga alikuwa anataka kusign Arsenal
 
WAFANYAKAZI WA TIGO KIBAO WANA LINE ZA VODA NA AIRTEL AND VICE VERSE IS TRUE
 
Mimi ni Yanga damu tena ile kindaki kindaki,
Lakini mzee wangu, kaka , wadogo zangu wote ni Simba....
Binafsi nilianza kupenda Yanga baada ya kumuona Edibily Lunyamila katika mashindano ya kule Uganda 1999 , alikua mwepesi ajabu na chenga za maudhi, nikauliza yule anacheza timu gani nikaambiwa ni Yanga, basi nami nikawa Yanga....
Kuna siku mwenzetu chuoni alifiwa na baba yake kule mbezi ya kimara, tupo msibani nikamuona Lunyamila hakika nilifurahi sana
Yanga oyeee tukutane jmosi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Labda mama yake alikua Simba, ndio maana anaipenda simba. Sio lazima kwamba baba yako akiwa dokta nawe uwe dokta, unaweza kuwa mwalimu, may be because mama yako alikuwa Mwalimu au kuna mwalimu anakukosha namna anavyofundisha au labda unapenda kuona watoto wakifaulu. Inshort sababu ni nyingi.

Au unataka kuniambia baba yako angekuwa mwizi na ww ungekuwa mwizi pia?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu hajj yuko kazini kule,na ndio maana hata mwanae wa kumzaa mwenyewe ni Yanga na wala afichi kama mwanae ni Yanga,juzi hapa kazindua perfum zake unadhani bila uwepo wake wa kuwa mkiani nani angemjua hadi leo hii kufikia hatua kama ile,yy mwenyewe binafsi anaishukuru sana mikia kwa kumpa fursa kama ile (usemaji wa mikia)akiwa ni albino while kuna kituo kikubwa cha redio na tv lkn mwenyewe akitaji,kishawahi kukataa kumpa ajira kutokana na ualbino wake huku akiwa amepita kwenye interview
 
Mkuu
 
Sijui hujaelewa sijui kusudi, nimekwambia kutangaza hadharani, nani kakutangazia hadharani kuwa yeye anatumi tigo wakat ni mfanyakaz wa zantel, inakuwa moyoni mwao, yule mfanyakazi wa huawei aliyetweet kwa iphone vipi kimemkumba nini!??

Wachezaji wanakuwa na mapenzi yao moyoni ila kwenye suala la kazi wanapiga kazi ipasavyo ikitokea wanacheza vilabu vingine.
WAFANYAKAZI WA TIGO KIBAO WANA LINE ZA VODA NA AIRTEL AND VICE VERSE IS TRUE

Sent using my nokia ya tochi
 
Lunya tuko naye huku mbez mkuu hata Abubakary salum sure boy yle orignal

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…