Bado sielewi imekuwa kuwaje hadi Haji Manara akawa shabiki wa Simba

Manara mwenyewe kasema kuwa mtoto wake wa kiume ni shabik wa yanga kwaiyo ni mapenz tuu wengine hunza kupenda timu kutoka kupenda mchezaji mmoja tuu huwa hivyo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Manara kaangalie upande wa mama yake na ndugu zake wanashabikia timu gani, ndiyo urejee kwenye hoja yako
 
Kama mzazi wake hakumsogeza KARIBU na YANGA,,,ataipenda VP YANGA? HIVI UNAJUWA mtoto kabla hajalala USIKU ,,,MCHANA anacheza wapi?na akina nani?MANARA NI MTOTO WA KKOO,,,pengine michezo YAKE ilikuwa ni UWANJA WA SIMBA JANGWANI,,,,utajuwaje?kumbuka MOTO na MOTO hauzai MOTO,,, huzaa MAJIVU ,,, MKUU usikariri

Sent using Jamii Forums mobile app
 


Halafu ukitumia kiswahili unaandika vizuuuuuri ila sasa ukiingizia kakingereza hapo unaboronga.... Hilo neno ROYAL ulilotumia ulitaka liwe na maana kama ya neno LOYAL au ndio kujifunza kutamka kwa lafudhi ya lugha yenu ya kisandawe kabla ya kujua spellings za neno


Tunajua una hamu ya kujua kingereza, na yumkini huenda mtaani kwenu wewe ndio msomi,ila unapokuwa sehemu unayoamini wapo vipanga waliokuzidi basi tumia lugha ambayo upo vizuri zaidi la sivyo unajishushia credits, sawa sawa mr ROYAL instead of LOYAL?
 
K
 
Cha ajabu hapa hakuna hata mmoja anayelipia fee yake ya uanachama huko Simba/Yanga ila wote mnasema mnazipenda hizo timu.

Tofauti kati ya Mpenzi vs Mshabiki inabidi iwekwe bayana.
Mpenzi ndiye mshabiki, na mpenzi ndiye mwanachama. Kama hupendi huwezi kuwa mwanachama, kama hupendi,na huyumshabiki hawezi kuwa mshabiki pasi kuwa mpenzi.

Ila yote kwa yote mshabiki ndiye mwanachama wa baadae pia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu wewe unalipia fee ya uanachama wako hapo Simba/Yanga?
 
Halafu kuna wakati alikuwa anakata maji sijui siku hizi!

Sent using Jamii Forums mobile app
anakula "vyombo" kama kawa ila kwa kificho sana.

kuna siku niliwahi kumfumania zanzibar ndani ya night club fulani hivi, mkononi alikuwa kashika chupa ya heineken beer. siku hiyo alikuwa amechangamka sana.

kiufupi haji ni mtu wa bata sana, si unajua tena vijana waliozaliwa/kukulia kariakoo.
(watoto wa mjini).
 
Baba yangu ni mwanachama miaka ile ya tisini alikuwa anakatisha ticket kwenye mazoezi ya Yanga uwanja Kaunda, nami nimehudhuria sana mazoezi na mechi za y Yanga miaka ya tisini, ghafla tu nikajikuta nashabikia Simba Sports Club

Tukirudi kwa Manara licha ya Babu yake mzaa mama kuwahi kuwa mwenyekiti wa Simba na Haji kurithi jina lake, kuna miaka Haji alilewa na Babu yake uyo kipindi ambacho Sunday Manara yupo nchi za ulaya anacheza soccer

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Daaah wajukuu wamepata Babu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…