bado sielewi kuhusu hili,,,,,

glass amo

JF-Expert Member
Joined
Aug 11, 2017
Posts
3,645
Reaction score
4,330
ahsalam,,,,,,,
kwenu leo nimekuja ninalo linalo nitatiza sana jaman
eti kua na marafiki wengi kwenye mitandao ya kijamii kuna ondoa ushirikiano wako na wale wengine walioko mtaani kwako au nyumbani kwakua most of de time una spend jf na kwengi neko?
ahsante kwa kulipokea
 
yap mada yako inauhalisia mkubwa tu ..but inategemea pia na ratiba zako zilivyo ..ila mimi ni addicted wa marafiki wa mitandaoni zaid kuliko hawa wa mitaani ..huwa nawaonaga miyeyusho tu ...halafu wengi wao ufahamu wao nimdogo wengine hata kujielezea tu hawajui
 
hahahahhahahha, umenigusa sana, maana hata mim n kama wew, yani mpka naona kero sometimes alafu wa mtaani wana majungu mabaya sana
 
hahahahhahahha, umenigusa sana, maana hata mim n kama wew, yani mpka naona kero sometimes alafu wa mtaani wana majungu mabaya sana
hapo kwenye majungu ndio usiseme ..miaka nenda rejea nimeishi kinondoni kabla yakuhamia Mbezi lakini nimejitahidi mnoo kuishi tofauti navijana wenzangu wao ikifika weekend ni kama mapopo walichokipata ndani ya week nzima wanakwenda kukitumia ndani ya siku moja tu ktk sehemu za starehe..majungu sasa ndio usiombe .story zao kila mmoja anawaza kuwa punda...daahh basiii mimi bhanaa nilikuwa nawakwepa ..rafiki yangu mkubwa haswaaa na mpnzi wangu wakwanza nisimu ..nikikosa cm basiii natabiri hata uhai wangu utakuwa na mashaka ..maana huwa nawaza mambo makubwa mnooo ..so inapotokea harakati zangu za kuyafikia hayo mambo zika backfire huwa natumia cm yngu kusocialise na kujifnza mambo mbali mbali that's all...
nikiwa sina ratiba ya kazi naweza shinda kutwa nzima hata kula nasahau nimwendo wakuperuzi tu ..
but huwa najitahidi kujizuia kuperuzi peruzi mambo ya kijinga kwa wingi
 
hahahaaha, kweli ulicho kisema nakubali kwa 100%
kiukweli napenda uhuru wa nafsi na s kufanya jambo kufurahisha watu
japo lazima wata sema unajiskia
 
sawa, sasa hata kama huna cha maana cha kuzu
ngumza nao ??/
ikiwa ushauri na kila kitu unakipata humu??
kwa mfano lakin
tafuta marafiki wenye tija wenye maono ya maendeleo, sio wale wapiga majungu na wasio na mitazamo chanya....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…