bado sielewi kuhusu hili,,,,,

bado sielewi kuhusu hili,,,,,

hahaha, swali lako umenifanya nicheke kwa sauti ya juu kidogo!!!
hahaaa lakini sio lakichochezi !!?
sasa wewe badala yakunipa jibu ..umeishia kucheka tu ..au ndio jibu lenyewe hilo mkuu
 
Ni jinsi unavyojipozisheni uraiani kwako na mitandaoni.


Kama marafiki wa uraiani huwaelewi JITAFAKARI
 
Unaweza kuwa na washkaji wa kitaa huku unacheki na masela wako wa humu jf
 
Back
Top Bottom