hahahaah, mie nilichofanya nimelinganisha macho yao (avatar)sinina ona hao wameanza kutoleana maneno ya shombo
kwakuwa wanapatikana hata huku ..sio mbya nikibase katika kuwatafuta huku ..sawa mkuutafuta marafiki wenye tija wenye maono ya maendeleo, sio wale wapiga majungu na wasio na mitazamo chanya....
aiseee sasa yupi ambaye umeona amemzidi mwenziehahahaah, mie nilichofanya nimelinganisha macho yao (avatar)
MUDA MWINGINE KUFUATA MKUMBO SIO VIZURIsure, hapo ume bonga vyema
YAP HUKU PIA WAPO HATA MIMI MBONA NINAO NA TUNAHESHIMIANA TUkwakuwa wanapatikana hata huku ..sio mbya nikibase katika kuwatafuta huku ..sawa mkuu
hahaha, swali lako umenifanya nicheke kwa sauti ya juu kidogo!!!aiseee sasa yupi ambaye umeona amemzidi mwenzie
UKO SAHIHI NA NDIO MAANA YA UTU UZIMA KUFIKIRIA JAMBO KWA MAPANAlakin lazma ujue nn hatima ya kila jambo unalo fanya
hahaaa lakini sio lakichochezi !!?hahaha, swali lako umenifanya nicheke kwa sauti ya juu kidogo!!!
gud ...inapndeza zaidiYAP HUKU PIA WAPO HATA MIMI MBONA NINAO NA TUNAHESHIMIANA TU
GHARAMA KUBWA KUWAFIKIA KIVIPIreally japo marafiki wengi wa mitandaoni wana garama kubwa sana kuwafikia kuliko wale wa mtaan
ππππhahahaHiyo avatar ni ww mkuu,, km ni wewe hongera kwa mtoto wa kiume kurembua macho ivo