Bado sielewi, kwanini Dube alipwe fedha nyingi kuliko Mzize?

Ni suala la mkataba tu, sasa kwenye nikataba kuna mambo mengi sana.

Je, Mzize wakati anasaini mkataba wake huu anaoutumikia alikuwa kwenye kiwango hiki, je alikuwa anajifahamu, anajua thamani yake?

Dube kaingia yanga kama mchezaji mkubwa sana, akacheza hapo kavuta mpunga,

Sasa ni suala la mzize mkataba ujao akomae alipwe pesa nzuri, akileta huruma itakula kwake.

Kila mwamba ngoma huvutia kwake, yanga watavutia kwaona mzize itambidi avutie kwake.
 
Ni suala la mkataba tu, sasa kwenye nikataba kuna mambo mengi sana, je mzizewakati anasaini mkataba wake huu anaoutumikia alikuwa kwenye kiwango hiki, je alikuwa anajifahamu, anajua thamani yake?

Siku naona habari za lile duka. Nikaona kama dogo management inampumbaza kisaikolojia.
 
Ni suala la mkataba tu, sasa kwenye nikataba kuna mambo mengi sana.

Je, Mzize wakati anasaini mkataba wake huu anaoutumikia alikuwa kwenye kiwango hiki, je alikuwa anajifahamu, anajua thamani yake?

Dube kaingia yanga kama mchezaji mkubwa sana, akacheza hapo kavuta mpunga,

Sasa ni suala la mzize mkataba ujao akomae alipwe pesa nzuri, akileta huruma itakula kwake.

Kila mwamba ngoma huvutia kwake, yanga watavutia kwaona mzize itambidi avutie kwake.
Wachezaji wa kibongo issue za mikataba hawaelew akipewa million 5 na makomandoo asaini mkataba wa million 2 Kwa mwezi Kwa muda wa miaka mi5 anaona nyingi sana matokeo yake anakujua kugundua baadae kumbe ana thamani kubwa kuliko pesa anayolipwa.
 
Unataka kuleta vurugu kama za Feisal Salum?......Muacheni Mzize msimstue
 
Hebu nisaidiane majibu!

Kwanini mshambuliaji Prince Dube alipwe fedha nyingi kuliko Clement Mzize?
Mnataka kumvuruga kijana wetu kama Feisal. Mwacheni atumikie mkataba wake kwa usalama. Akitaka maboresho ya malipo aendelee kuonyesha ubora wake hakuna jambo linaloshindikana
 
Wachezaji wa kibongo issue za mikataba hawaelew akipewa million 5 na makomandoo asaini mkataba wa million 2 Kwa mwezi Kwa muda wa miaka mi5 anaona nyingi sana matokeo yake anakujua kugundua baadae kumbe ana thamani kubwa kuliko pesa anayolipwa.
Elimu ya darasani hawana,
Hawajifunzi hata ulaya huko watu wanavyopiga pesa.
 
Back
Top Bottom