Bado sielewi, kwanini Dube alipwe fedha nyingi kuliko Mzize?

Lakini si kuna utaratibu maalumu wa kufanya maboreshe ya mkataba?

Kisa leo wewe ni beki umepiga Tackling kali, kesho asubuhi upo ofisini kwa Rais uongezewe mshahara.

Hiyo itakuwa Klabu au kikundi cha masela wa Manzese?
 
Wachezaji wa Tanzania hawajielewi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…