Bado sijafanikiwa kumpata mwenza sahihi

Bado sijafanikiwa kumpata mwenza sahihi

Habari za wakati huu, mpaka Sasa bado sijafanikiwa kumpata mwenza wa kuanza nae safari ya maisha. Wengi wanaokuja ni waume za watu, ma play boy wasiojiheshimu. Wengine wanahisi mtu hauko serious, wakati mtu una Nia thabiti kabisa. Labda sijaandika vizuri ombi langu na jinsi ya kujielezea.

SIFA BINAFSI
umri wangu ni miaka 25
Dhehebu langu RC
Nipo dsm
Nimejiajiri
Rangi yangu mweusi
Sina mtoto, sijawahi kuolewa, sijawahi toa mimba.
Nipo serious katika hili.
Kuja Hapa si kwamba, sifai la hasha, Bali kulingana na mazingira yangu sipati mtu ninayemuhitaji Mimi.

SIFA ZA BOYFRIEND.
Awe na miaka 28 mwsho 30
Awe na kazi au kitu kinachomuingizia kipato. (Sina Nia mbaya).
Awe mkoa wowote sawa
Awe mkristo (itapendeza zaidi akiwa RC)
Awe mrefu lakini si Sana
Asiwe mume wa mtu
Awe rangi yoyote
Awe kabila lolote

NB; NAHITAJI ALIYE SERIOUS TU. ukiona hauko serious na hili jambo basi naomba tu ukae pembeni. Kama umekidhi vigezo na una Nia thabiti kabisa. You are welcome (PM).
Bado aujampata tu kama bado mm nakuitaji nipe tu ukweli mapema ili nikupm kwa uwakika kiukweli nakuitaji nipo iringa mjini apa
 
Wapo walioweka tangazo kama lako na wakaolewa, ufanikiwe katika hitaji lako...

Watu wanaokukejeli hawajui tu nammna mtoto wa kike anavyokuwa njiapanda akifika stage kama yako...
Best upo...?
 
Habari za wakati huu, mpaka Sasa bado sijafanikiwa kumpata mwenza wa kuanza nae safari ya maisha. Wengi wanaokuja ni waume za watu, ma play boy wasiojiheshimu. Wengine wanahisi mtu hauko serious, wakati mtu una Nia thabiti kabisa. Labda sijaandika vizuri ombi langu na jinsi ya kujielezea.

SIFA BINAFSI
umri wangu ni miaka 25
Dhehebu langu RC
Nipo dsm
Nimejiajiri
Rangi yangu mweusi
Sina mtoto, sijawahi kuolewa, sijawahi toa mimba.
Nipo serious katika hili.
Kuja Hapa si kwamba, sifai la hasha, Bali kulingana na mazingira yangu sipati mtu ninayemuhitaji Mimi.

SIFA ZA BOYFRIEND.
Awe na miaka 28 mwsho 30
Awe na kazi au kitu kinachomuingizia kipato. (Sina Nia mbaya).
Awe mkoa wowote sawa
Awe mkristo (itapendeza zaidi akiwa RC)
Awe mrefu lakini si Sana
Asiwe mume wa mtu
Awe rangi yoyote
Awe kabila lolote

NB; NAHITAJI ALIYE SERIOUS TU. ukiona hauko serious na hili jambo basi naomba tu ukae pembeni. Kama umekidhi vigezo na una Nia thabiti kabisa. You are welcome (PM).
Sipendi wanawake weusi
 
Back
Top Bottom