Bado sijaona wa kumfunga Uhispania hadi sasa

leo watakuwepo wote, alemania watakuwa na kimmich,goretzka,nk, Spain watakuwa na ,busi,gavi,pedri majibu yarakuepo
 
Tuombe wakutane na Ufaransa au Brazil
Uhispania kwa nilivyomuona, ili uweze kumpiga tumia 'counter attack' ukiwa na winga zenye kasi na maamuzi ya haraka, ila suala la kubishana nao eneo la kiungo sahau.
 
SPAIN gani hyo ya kucheza na akina Costa Rica ndo unakuja kuizungumzia hapa kwa mbwembwe

Anyway !! Tukutane saa 4: 00 usiku leo

Germany [emoji382][emoji382][emoji3578][emoji3578][emoji3578][emoji3577][emoji3577][emoji3577][emoji3577][emoji3577][emoji629][emoji629][emoji629][emoji629][emoji629][emoji629][emoji629][emoji629][emoji629]

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
 
Ndo utajua hii ndo world cup, mnaoitegemea Brazil, Portugal na France Kwa kigezo cha kumiliki vikosi Bora, world cup itawashangaza.
 
Endeleeni na mpira wenu wa kupiga pasi trillion sabini (kulipa deni la nchi) wenzenu wanatafuta matokeo
 
Kwa kichekesho kingine kama hiki tubonyeze ngap.?
 
Pass 1000+ dhidi ya pass 300+
😂 Kweli ukubwa wa ndonga sio kubana kwenye pussy.
 
Mtoa mada na Spain yake mmebanduliwa 😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…