Bado sijaona wa kumfunga Uhispania hadi sasa

Bado sio uthibitisho mkuu.
1. Kuna Waarabu wa Afrika
2. Kuna waislam wa Afrika pia
Wenyewe hawataki wewe mbona mbishi? Wamisri, algeria, libya, tunisia na sudan kaskazini wanalalamika wamelazimishwa kuitwa waafrika wanataka mipaka ibadilishwe. Ni dunia tu ndo inawabania agenda yao isiende mbele kama wazanzibar wanavonyimwa kuwa napasspport yao na timu ya taifa inayotambulika na fifa.
 
Tuweke waraka hao waarab wakitaka kutambulika kuwa ni Bara Arab na si afrika
 
Tabia za waafrika kama wewe ni ubaguzi kwenda mbele.
 
Ukapata na like kabisa na utabiri feki!
 
Nyie ndo leo mmeanzisha udini baada ya Morocco kuwafanya ndivyo sivyo
 
Spain bhana Yani ukiwa makini ukipiga kaunta 5 tatu zote unawafunga sio wale wa 2010 - 2012.
Viungo na beki zake wazuri wakiwa na mpira TU.
 
Huyu jamaa maneno mengiii timu yenyewe haielewekii
Imagine timu imeishia kumfunga Costarica tu mpaka wanatolewa
Hivyo vitoto sijui Gavi,Pedri etc. ndio vinaifanya Barca mpaka sasa icheze europa ndio utegemee vikupe worldcup
 
Sudan Kaskazini, duh kuwa serious mzee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…