MR BINGO
JF-Expert Member
- Feb 12, 2016
- 1,164
- 2,500
CHADEMA tunaombeni Majibu ya swali hili
Hili ni moja ya swali ambalo linaulizwa Sana kwenye duru za siasa na mimi binafsi sijabahatika kupata kusikia Majibu ya hoja hii kutoka kwa Wana CHADEMA, ningependa kulileta swali hili kwa wanachadema wa humu ndani. SWALI LENYEWE Ikiwa nyie ni chama kikuu Cha upinzani na mnasimamia hoja ya...