flood
Senior Member
- Jul 10, 2017
- 121
- 188
Ajibu alimpata mtoto akiwa na umri ganiWewe na mama mtoto mna umri gani, umri mkubwa kuanzia 45yrs+ inachangia autism.
Na vipi mtoto alizaliwa na uzito gani, uzito mdogo sana unachangia
Zaidi fuatilia hizo hospitali kuliko kwenda kwa manabii/waganga. Hao ungeenda kama kuna dalili za nguvu za kiroho lakini kama jambo ni la kisayansi hawatalibadilisha kimiujiza.