Bado siku 29 tuu Inshaallah

Bado siku 29 tuu Inshaallah

Chibudee

JF-Expert Member
Joined
Dec 28, 2016
Posts
1,775
Reaction score
2,404
Alhamdulillah Bado siku 29 tuu

Eid mubarak[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Mkuu;
Kweli weye umefunga au umefungishwa?? Wengine huwa wanarudishia tu. Hatuhesabu hivyooo. Tunamshukuru Mola kwa kutufanikisha siku moja sio kuangalia zilizobaki.
 
Mkuu;
Kweli weye umefunga au umefungishwa?? Wengine huwa wanarudishia tu. Hatuhesabu hivyooo. Tunamshukuru Mola kwa kutufanikisha siku moja sio kuangalia zilizobaki.
Just joke of the day mkuu
 
Nilikopanga kuna waislam mtu na mkewe mume naonaga wanamuita ostazi ila chaajabu mke ndiyo kafunga mume anakula
 
Daaah.... Yupo jamaaa swala tano anakula! Nimeshangaaa...
Lands ni MGONJWA wa vidonda vya TUMBO kama mimi...

Anafanya vizuri tu.....kama anaweza/ameweza kuikabili moja katika nguzo tano muhimu (Swala)..

Asingeshindwa kufunga....Maradhi yamekuwa mengi Karne hii....
 
Wengine hiwa wana shida za kiafya kama sukari ama vidonda vya tumbo
 
Yupo mmoja huku kwetu..SWALA TANO.. ila kabadilisha ratiba ya kuoga ghafla tu...now anaoga kuanzia saa nane mchana...tena maji ya moto...kumbe kwenye Msuli kafunga CHAPATI.. SUKARI NA TEA BAGS.....akifika chooni anafanya MIPANGO YAKE YA LUNCH TIME...inaonekana ni MCHEZO WAKE ramadhani zote hafungi....Leo ktk harakati za kuwahi BAFUNI...akakanyaga msuli bahati mbaya..CHAPATI.. Na vitu vyote alivyofunga kiunoni VILIDONDOKA...aiseee...Kweli RAMADHANI NI YA ALLAH.... ndy anayejuwa NANI ANAFUNGA KWELI...
 
Back
Top Bottom