Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaaaan ndio siku ya kwanza mnawaza Eid
Sijui hua mnalazimishwa kufunga
Daaah.... Yupo jamaaa swala tano anakula! Nimeshangaaa...
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji115] ni sehemu ya kunogesha baraza. Don't take it seriouslyYaaaan ndio siku ya kwanza mnawaza Eid
Sijui hua mnalazimishwa kufunga
Kama ana ugonjwa unaomruhusu kula kuna shida ganiDaaah.... Yupo jamaaa swala tano anakula! Nimeshangaaa...
Lands ni MGONJWA wa vidonda vya TUMBO kama mimi...Daaah.... Yupo jamaaa swala tano anakula! Nimeshangaaa...
Lands ni MGONJWA wa vidonda vya TUMBO kama mimi...Daaah.... Yupo jamaaa swala tano anakula! Nimeshangaaa...
Wengine hiwa wana shida za kiafya kama sukari ama vidonda vya tumboNilikopanga kuna waislam mtu na mkewe mume naonaga wanamuita ostazi ila chaajabu mke ndiyo kafunga mume anakula