Yupo mmoja huku kwetu..SWALA TANO.. ila kabadilisha ratiba ya kuoga ghafla tu...now anaoga kuanzia saa nane mchana...tena maji ya moto...kumbe kwenye Msuli kafunga CHAPATI.. SUKARI NA TEA BAGS.....akifika chooni anafanya MIPANGO YAKE YA LUNCH TIME...inaonekana ni MCHEZO WAKE ramadhani zote hafungi....Leo ktk harakati za kuwahi BAFUNI...akakanyaga msuli bahati mbaya..CHAPATI.. Na vitu vyote alivyofunga kiunoni VILIDONDOKA...aiseee...Kweli RAMADHANI NI YA ALLAH.... ndy anayejuwa NANI ANAFUNGA KWELI...