Bado siku 3 mahari itoke nipo njia panda

Hii Roho ya tamaa inawatesa sana dada zetu. Unasita kuolewa kwasababu hupewi hela? Mshahara wako unafanyia kazi gani.

Jitahidini kuchanganua vitu vya msingi basi kwenye vichwa vyenu!!
 
Inawezekana huo uvumilivu ndio umemfanya jamaa akatoe mahari na inawezekana jamaa ameshamaliza kuhudumia kwao vitu muhimu akaona umefika muda wa kuanzisha familia!Kweli Mwalimu wao kipofu
BTW naona kama huyo dada ni wewe
 
Awe mpole tu akishaolewa atahidumiwa vya kutosha!

Maana na nyie wanawake aliyewaroga aliwarogea kwenye pesa!
 
Tafsiri ya neno kujali kwa mwanamke, ni kupewa HELA, ila kwasababu ni kitendo cha kudhalilisha, kwani ni kama kuhongwa, wao wanatumia tafsida ya neno "kujali".
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…