Bado siku 3 mahari itoke nipo njia panda

Mpk unakubali kutolewa mahari si umeridhika na hali..aache unafiki
 
Kazi ya mwanamke ni kum-shape mwanaume kitabia. Sasa huyo dada aako kama hajitambui itakula kwake. Mwambie aache kuolewa aone ilivyo ngumu kupata mmchumba nowdays..
Umeongea kama watu mia aisee.. nigujua jinsia yako nigesema japo
 
Upuuzi mtupu..mapenzi yamekuwa biashara..na unaweza kukuta huyo binti anakazi na mshahara na hana wategemezi wengi kama mwanaume anavyokuwa nao..
Ameumia kuona mil. 10yote inaenda kwa mwanaume... mi naamini sio kwamba huwa hampi ila sio kwa kiwango anachofikilia yeye huyo dada
 
Kwann unamsingizia shosti wako?? Si useme tu ni wewe?

BTW wanawake nani kawaloga?
 
Huyo mwanamke pesa zake anafanyia nini?Amewekeza kwenye future yao?Uwekezaji kwenye future ya familia sio wa mtu m1.
 
Alitaka jamaa awekeze kwa mwanamke ambaye si mkewe?.. ili aje kujilipua kichwa kama ndugu zetu fulani.. akatae mapema jamaa ajichange sehemu nyingine this life is too short kutiana stress uchwara...
AFTER THE BREAK UP itamcost kama miaka mitano kupata mwanaume atakayevumilia mwanamke mwenye mtoto, aliyegonga 29 na muda wa kuaminiana na kumuelewa bailojia.. AKIJA KUSTUKA 34 na hapo aombee mambo yaclick...
 
Akishamtolea mahari, ataanza kumuhudumia...awe na subira tu.
Ni kweli kabisa,tena wakishapata na watoto basi huyo mume lazima atabadili gia angani na kuanza kushughulika na mkewe na watoto wao,ila pia asisahau kwao,kwani bila wazazi wake basi hata huyo mke mtarajiwa asingemuona huyu jamaa.
 
Kifupi tu, shosti yako anataka apewe hela!

Mwambie awe makini, siku si nyingi atahama kutoka kwenye single mother mpaka kua a single mother of two or three!
Mwanaume ambaye hata future yake haingalii zaidi ya kwao?

Hapana mtu wa hivyo atamsumbua, ajiandae kuhudumia familia yaani mwanamke ndiyo atasimama kama baba kimajukumu ikitokea wameoana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…