Mkuu hawa watu wakiona unatengeneza kwenu tayari hapo ni tatizo, hawajui watu tumetoka wapi.
dah, kweli ela ni kila kitu
Chakushangaza sasa wao ndio namba moja kujenga kwao.
Si huyo aloturoga wanawake kupenda pesa
Ni vizuri mwanaume kabla hajaoa amalizane na familia yake,jamaa yuko sahihi kabisa wakishaoana watengeneze familia yao na kuwekeza.Jamaa anajitambua
Awe mpole tu akishaolewa atahidumiwa vya kutosha!
Maana na nyie wanawake aliyewaroga aliwarogea kwenye pesa!
Hata mie ilikuwa hivyo hivyo pesa sipewi ila nilimpenda yeye...sio pesa na alihudumia kwao pia ila tulipooana akaanza kunihudumia mimi...
Mwambie awe na subira...