Bado sina NDOA.....

Bado sina NDOA.....

with that beautiful BLINK... naogopa.. sintakua peke yangu

Kumbe kigezo chako kingine ni mdada kutokuwa na ''beautiful blink''
basi huna kigezo kimoja... here I do mean mdadada awe na mkonyezo
mbaya.......nitaweka avatar ya unattractive blink.

We don't have proper marriage{couples} for looking the physical attractiveness{p.a}
 
Safi sana siku hizi kila kitu unajilipua tu.... utakachopata ndio hichohicho.... na huo unaitwa ujasiri wa kifisadi!!!
 
mi nimepanda cheo wiki iliyopita
nafundisha Sec sasa
duuuhh ..:rip:
 
Kumbe kigezo chako kingine ni mdada kutokuwa na ''beautiful blink''
basi huna kigezo kimoja... here I do mean mdadada awe na mkonyezo
mbaya.......nitaweka avatar ya unattractive blink.

We don't have proper marriage{couples} for looking the physical attractiveness{p.a}

sidhani kama yule dada hile ni picha yake ya ukweli....
 
Mabibi na mabwana iviii haiwezekani mie kumpata mwenza toka eneo hili..... maaana nakutana na picha za wadada warembo wakichangia mada zao.......kuna sura nyingi nimevutiwa nazo... I LURV U ALL..WAMAMA.... ILA LAZIMA AWE MWALIMU WA PRIMARY.....

Persimistic! Umeshaji-disqualify.
 
ze problem is that....ur real photo sio hiiii

Daahh
Kwa kweli
na ya kwako
iko wapi..
na nani alikwambia
humu watu wanaweka picha zao..
usije jaribu kum judge mtu kupitia
avatar..

WARNING.... Watu wengine wanaume
wanatumia avatar za kike and vice verse..
 
Daahh
Kwa kweli
na ya kwako
iko wapi..
na nani alikwambia
humu watu wanaweka picha zao..
usije jaribu kum judge mtu kupitia
avatar..

WARNING.... Watu wengine wanaume
wanatumia avatar za kike and vice verse..

I don care .... i know there's alot of cheatn over here.. all i need is a real woman.. PURE AFRICAN WOMAN
 
Back
Top Bottom