Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HakikaaTanzania tungekuwa tunacheza mpira kwa mdomo. Makao makuu ya FIFA yangekuwa Karume.
Kesho tunasukumwa ndaniiii......tunashuka jumla jumla
Tanzania tungekuwa tunacheza mpira kwa mdomo. Makao makuu ya FIFA yangekuwa Karume.
Na rais Wa Fifa angekuwa Mzee Yahya Akilimali na Hajji manara
Atazitapika aliyepokea. Au wakishindwa kufuzu wakabanguwe korosho.Na hela za mzee wata rudishaaa[emoji41]
[emoji16][emoji16][emoji16] Akilimali angekuwa Refa
Hapo yanga lazima ichukue klabu bingwa