Hemedy Jr Junior
JF-Expert Member
- Feb 17, 2023
- 915
- 1,082
Habari za wakati huu wanajukwaa.. UNATAMBUA kuwa wewe bado ni mtumwa ambaye uko huru.
Tunaambiwa tumepata huru mwaka 1961 huru tulipewa sio kwamba tulipigana na huru huu tulipewa kwa mkataba ndo maana bado tunazidi kuteseka na kunyanyasika.
Ninaposema bado sisi ni watumwa nieleweke kitu kimoja, huru ni kuwa huru na kuwa na mahamuzi mazuri yenye mlengo chanza, kushauri.
Kuwa na mahamuzi ya kifikra kujitawala kifkra lakini bado fikra zetu zimetawaliwa , zimetawaliwa na nani?
Hilo ndo swali amabalo unaweza niuliza afu nikakujibu (Bado tunaendelea kutumikia wazungu bila kujua sisi tumekuwa wakupokea kila kitu kinachokuja kwetu ni karibu) sio kila mgeni umkaribishe ndani mwingine akomee nje.
👤 Bungeni _ Kuna nembo ya malkia wa uingereza ^ inatafuta nini hiyo nembo kwenye bunge letu Tukufu?
👤 Uisalamu na Ukristo hizi dini mpaka sasa ndo chanzo cha ugomvi kila kukicha Duniani kwa Nchi ambazo ziko na dini hizi, na Tanzania ni miongoni Mwa Nchi hizo.
👤 Elimu/ Elimu unayopata bado inakutesa kila siku unaangaika (Unapojiona kwamba we huwezi kitu fulani usiseme we mjinga hapana hata huyo mzungu hawezi kitu fulani ambacho wewe unakiweza japo kwako unakiona kidogo...
...... .............. TECHNOLOGY......
Ni utumwa kwetu maana sisi teknology tulikuwa nayo ya kwetu. Maendeleo ndo yamekuja kuleta mambo ya ajabu duniani.... end de day vitu unaviacha ardhini na watu wanauana kuhusu hizo mali zako ulizozitafuta.
..... Tutajikomboa lini au mwisho wa kifo chako .... tumethamini vya kwao tumesahau vya kwetu na tunauawana kwa sababu yao.
Wametupandikiza mambo yao afu nasi tukajifanya wao ila hatuwezi kuwa wao. Tafakari chukua hatua.
........... Viongozi wa afrika wanaouawa au waliouwaw walikuwa na maono mapana sana mfano Gadhafi lakini kutokana Afrika tamaa na akili mgando wakaona mmh hapana wazungu wakachochea moto Gadhafi naye akauwawa.
..... Afrika mbioni kutawaliwa tena........
Maana hatuwezi kujitawala. TANZANIA TUPO NA SERIKALI YA MKATABA .
.... KUMALIZA TATIZO KWANZA TAMBUA CHANZO CHA TATIZO.