Bado Trilioni 3 Tu TRA (Tzn) Kuipita KRA (Ken) Makusanyo ya Kodi. Kishindo Cha Tanzania ya Samia Kitapeleka vilio Kwenye Uchaguzi wao 2027

Mbona ndivyo ilivyo? Wewe sema ukuaji wa Uchumi Kwa Sasa Bado sio mkubwa sana kuwa na far reaching multiplayer effects ,ipo Kwa kiasi Cha wastani japo Huduma za Umma zimeimarika sana hasa Afya ,Elimu na maji.

Sisi wote ni watanzania jamaa yangu, tunatembea hii Tanzania kila kona, hizo huduma unazosema zimeimarika mbona hatuzioni, sio tu mikoani hata hapo Dar es salaam.

Kama Dar es salaam Kuna malalamiko ya ukosefu wa maji itakuaje huko kazuramimba? , hivi unajua hapo Morogoro tu na Pwani bado watu wanakunywa maji ya miferejini na kwenye mito?
Ukiangalia matokeo ya jana ya Form four bado unakuta shule Moja Ina wahitimu wa form four tu zaidi ya 400.
Malalamiko ya maslahi ya walimu Kila siku kelele, huo ubora wa elimu uko wapi sasa?

Hizo huduma za Afya unazosema zimeimarika, mbona hapa juzi Kuna viongozi kadhaa wakubwa wamefia India na sio Mloganzila?
Ulishawahi kwenda Mloganzila au Muhimbili ukajionea msongamano?
Jiji la Dar es salaam hospitali zoote referral wanapeleka Muhimbili na Mloganzila hakuna option nyingine?
 
Huzioni sio? Kutembea na kufuatilia ni mambo 2 tofauti,kwamba wewe unakotembea basi huna macho na mambo kama haya huyao.

Watoto si walikuwa wanarundikana kwenye vyumba vya madarasa? Si walikuwa wanalingia form 1 Kwa mafungu? Hayo yapo Kwa Sasa na kama yapi ni wapi huko? Mimi Mkoa nilkp hakuna.

Haya na hii hujaona si ndio? πŸ‘‡πŸ‘‡

View: https://www.instagram.com/reel/DEw7esvOfFO/?igsh=MXRvem50Mnl0MGR0cg==
Ukiwa mwongi uwe na takwimu sio kubuni vitu visivyo na msingi Ili kufurahisha ego Yako kisa unamchukia Fulani.

View: https://www.instagram.com/p/DEsFIGVN9Z0/?igsh=MW8xbmYyMmhrcjNrcg==
 
Hujui kitu wewe ,hesabu ulipata zero bila shaka.

Chukua makusanyo ya Kenya hapo Juu zidisha na 1kes=19Tshs. Utapata jibu.

Hahahaha eti hesabu nilipata zero....Sasa nilichoandika na ulichoandika Kuna tofauti gani?

Hakuna shida, nilikuwa naweka hesabu sawa tu, ili hesabu ziendane na exchange rate.
 
Kiongozi kwenda kufia Nje ni uamzi wa pesa zao ,mbona wengine wamefia hapo Muhimbili nk?

Je hujui kwamba Kwa Sasa vifo vya wamama.wajawazito vimepungua sana.pamoja na Watoto wao? Hujui kwamba Serikali imejenga miundombinu Mingi sanjali na kuajiri Watumishi?

Kwani ni lini malalamiko hamewahi Isha sio tuu Tanzania ila Dunia nzima? Wapi huko watu wanasema wametosheka? Je sio hao hao walimu walikuwa wanalalamika kutopanda madaraja,Je wengi hawajapanda? Malalamiko yameisha?

Kuimarika sio necessarily kwamba Kila kitu Kiko.perfect lakini ni nafuu kuliko ilivyokuwa.

Na Cha kuelewa na kwamba Kasi ya ongezeko la watu sio sawa na upatikanaji wa Fedha ,hizi unazoziona Bado hazitoshi.
 
Hii nchi imejaa matahira sn hasa maccm hv tz ina nn cha kujilinganisha na kenya hv una akili timamu ww unaujua uchumi wa kenya ww taifa hili lina kila ktu cha kutohtaji misaada bt tuna maviongoz mambumbu na machawa wao kama ww na ccm ndiyo maadui wa taifa hli na watz fala wewe
 
Hahahaha eti hesabu nilipata zero....Sasa nilichoandika na ulichoandika Kuna tofauti gani?

Hakuna shida, nilikuwa naweka hesabu sawa tu, ili hesabu ziendane na exchange rate.
Kama unajua hakuna tofauti,ulikuwa unauliza swali la kijinga Kwa nini? Si nimekupa link fanya hesabu mwenyewe badala ya Kuandika pumba au?
 
Hapa nani hana akili ,wewe au Mimi? Sitotaja vitu vingi,haya niambie Kenya Wana Sgr? Kwenye Wana umeme Kila Kijiji? Kenya Wana Utalii kuzidi Tanzania both numbers za watalii na Mapato? Kenya Wana nafuu ya maisha kuliko Tanzania? Je hujui kwamba Kenya ni maskini kuliko Tanzania?

Mwisho jadili mada kama ilivyo kwamba Tanzania mbioni kuwapaita Kenya.
 

Tupe takwimu kwa maana ya number, picha Kila mtu anaweza kupiga alipo akaleta.

Ingia kwenye matokeo ya necta uangalie shule za serikali idadi ya wahitimu kwenye shule moja, itakupa picha mkuu.

Tupe takwimu ya ratio ya mwalimu mmoja vs wanafunzi hapa Tanzania vs standard inavyotaka.

Mfumo Bora wa elimu sio majengo pekee, majengo ni factor Moja katika factor nyiiingi, kuanzia maslahi ya walimu, idadi ya walimu, vifaa vya kufundishia, idadi ya wanafunzi kwenye kila darasa nk.
 
Namba huwezi kuziamini ndio maana nakupa picha na video Ili uende hayo maeneo ukathibitishe yaliyomp yapo?

Namba kama hizi si utabisha wewe? πŸ‘‡πŸ‘‡
 

Sasa kama unashindwa kubalance kasi ya ongezeko la watu vs vipato vya watu wako maana ya kuwa kiongozi ni nini?

Lete takwimu vifo vilikuwa vingapi na sasa ni vingapi, nini kilifanyika.

Kwasababu Kuna malalamiko USA basi tukibaliane tu na wewe kwamba walimu wanaolalamika ni wajinga ilihali tunaona hali halisi ya maisha yao mtaani huku.
 
Namba huwezi kuziamini ndio maana nakupa picha na video Ili uende hayo maeneo ukathibitishe yaliyomp yapo?

Namba kama hizi si utabisha wewe? πŸ‘‡πŸ‘‡View attachment 3212216View attachment 3212219

Miradi 1300 vs mahitaji kiasi gani?

Kama Dar kinyerezi walikuwa wanalalamika shida ya maji wiki ngapi sijui, na bado maeneo mengi ya Jiji la Dar es salaam hayana maji,, tunaweza kuamini hizo takwimu.
 
Muulize ni nchi gani isiyokuwa na mafukara? Ni kweli Kuna mambo inabd twendelee kufanyia kazi lakini Kwa maboresho ambapo serikali imefanya vizuri tuipongeze pia,tuache tabia za ukosoaji na malalamiko kila muda
Awamu hii ndio nimegundua Tanzania Ina watu wajinga sana ambao wao vitu vya kipuuzi ndio muhimu kwao.

Unaodai wanakosoa Wala hawakosi Bali wamejaa chuki kisa aliyeko.madarakani ni yule ambae wameami ishwa huko kwenye dini zenu eti haitakiwi Kuongoza,yaani ujinga

Ndio maana hao watu hawampimi Rais Kwa matokeo Bali Kwa upumbavu wao
 
Hakuna aliyeshindwa ndio maana Serikali inachukua hatua za kuongeza Kasi ya ukuaji wa Uchumi Ili iwe mara 2 au zaidi ya economic growth.

Mfano fertility rate ni 3.3% , Uchumi uko 6% hizi ni hatua nzuri.Elimu ndio itasababisha watu waache kuzaa a hovyo.

View: https://www.instagram.com/p/DEmnL80oLJE/?igsh=bXJyeHA4bXdkcXM3
 
Wahitimu kuwa wengi ni ishara ya muamko wa elimu lakini pia shule nyingi tu za kata zinaendelea kujengwa,na pia swala la maslah ya walimu litaongezwa kulingana na bajeti inasemaje,bro Kuna mambo mengi ya kufanya sio tu kuongeza mishahara ya wafanyakazi maana hii nchi idadi kubwa ya watu wamejiajiri au wapo sekta binafsi,Sasa ukitaka kila siku waangaliwe watumishi wa serikali huo utakuwa ubinafsi,tulio mtaani tunahtaj sana miundo mbinu mizuri mkoa Kwa mkoa,wilaya Kwa wilaya mpaka nchi Kwa nchi,halafu nikuulize huduma zilizokuwa zinapatikana muhimbili miaka20 iliyopita ni sawa na leo? Usifananishe Tz na India maana wenzetu wana technology na wabobezi wengi,jifunze kushukuru hata kwa maendeleo madogo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…