Hakuna mtu atake inua maisha yako binafsi ukiona kodi inakusanywa kubwa ujue shughuli za uzalishaji Mali na biashara zimeimarika na maisha ya watu yameimarikaEti kuipita kenya kwa makusanyo ya kodi ndio ufanisi? Yaani utawala badala ya kupima ufanisi kwa namna gani wanainua maisha ya wananchi wanapima kwa makusanyo ambayo wanagawana vigogo wa serikali. Kenya siku zote kodi wanakusanya kuliko sisi lakini wananchi wa kawada si ndio wanalia sana? Juzi vijana wameandamana kupinga ufisadi na dhuluma. Mnaomshangilia mams ni wapenda dhuluma na ufisadi tu.
Sawa lakini Serikali inavyoimarisha miundombinu ya Uchumi na jamii inampa mtu nafuu ya kujitafuta.Hakuna mtu atake inua maisha yako binafsi ukiona kodi inakusanywa kubwa ujue shughuli za uzalishaji Mali na biashara zimeimarika na maisha ya watu yameimarika
Matumizi ya makubwa ya serikali ya hovyo, ununuzi wa magari ya viongozi, wizi unaosemwa kwenye ripoti ya CAG.Matumizi yamefanya nini?
Ununuzi wa Magari ndio matumizi ya hovyo?Matumizi ya makubwa ya serikali ya hovyo, ununuzi wa magari ya viongozi, wizi unaosemwa kwenye ripoti ya CAG.
Wewe badala ya kusifia wanaolipa Kodi unasifia rais. Mna shida ya uelewa.
Toka shetaniHapa nani hana akili ,wewe au Mimi? Sitotaja vitu vingi,haya niambie Kenya Wana Sgr? Kwenye Wana umeme Kila Kijiji? Kenya Wana Utalii kuzidi Tanzania both numbers za watalii na Mapato? Kenya Wana nafuu ya maisha kuliko Tanzania? Je hujui kwamba Kenya ni maskini kuliko Tanzania?
Mwisho jadili mada kama ilivyo kwamba Tanzania mbioni kuwapaita Kenya.
View attachment 3212207View attachment 3212208
🚮🚮Toka shetani
Sasa na wao si watakuwa wapo mbele zaidi ili tuwafikie maana yake wawe static mapato yao yasibadilike kwa miaka hiyo mitatu mfululizo ni jambo ngumu.Miaka 3 ijayo hizi zitakuwa ni pesa tupu 👇👇
View: https://www.instagram.com/p/DFKiMAvoYiM/?igsh=MThqemFvdnNpeGhqNQ==
Si mnatumia kwenye kulipana posho nono, kununulia magari ya kifahari, na kufanya mambo ya anasa! Halafu sehemu kiduchu inayobakia ndiyo mnafanyia maendeleo.Matumizi yamefanya nini?
🚮🚮
Uko sahihi tunapata mgao wetu Kwa njia ifuatayo 👇👇
View: https://x.com/maji_mowi/status/1881725899156107501?t=WdraB0cvy4fZVIucHxBqoA&s=19
Maposho tunayolipana ni kama haya hapa 👇 👇Si mnatumia kwenye kulipana posho nono, kununulia magari ya kifahari, na kufanya mambo ya anasa! Halafu sehemu kiduchu inayobakia ndiyo mnafanyia maendeleo.
Growth rates ya Mapato Yao ni ndogo kuliko ya kwetu.Nimekwambia mwaka 2021 gap ilikuwa Trilioni 7 lakini Leo hii ni hiyo 3.5.Sasa na wao si watakuwa wapo mbele zaidi ili tuwafikie maana yake wawe static mapato yao yasibadilike kwa miaka hiyo mitatu mfululizo ni jambo ngumu.
May be kuwafikia ni after 7 to 9 years..
Unaweza kupinga kazi za Samia? Huu mradi ulikuwa umekufa Toka awamu ya JK, Mwendazake hakuna alichofanya lakini mama ni shangwe tupu.Huu unanihusu
Hahahaha! Nimecheka sana. Kwa hiyo uchaguzi umekuwa 2027 tayari?Tanzania Kupitia TRA inaenda Kuwapita Wakenya kwenye Makusanyo ya Kodi mwaka 2027 kwani Bado Shilingi Trilioni 3 Kuwafikia.
Hapo kabla Kenya ilikuwa imewekwa Gap la zaidi ya Trilioni 7 lakini juhudi za Serikali ya Samia kuhamasisha uwekezaji na ulipaji Kodi wa hiari zimeanza kuzaa matunda Kwa kupunguza gap kubwa lililokuwepo.
Kwa mujibu wa data rasmi kutoka taasisi hizo za Kodi ulinganishi niliodanya unaonesha kwamba Kwa kipindi Cha miezi 6 ya mwaka wa Fedha 2024/25,TRA imekusanya Shilingi Trilioni 16.5 huku KRA ya Kenya ikikushanya Kshs.1.07 (Tshs.20.T) sawa na tofauti ya Shilingi Trilioni 3.5 tuu.
View: https://x.com/BD_Africa/status/1881778910087557223?t=q-ekZhQFkuEuGSbCwr0NGg&s=19View attachment 3212166
Kwa mikakati na uwekezaji Unaoendelea Nchini wa kufungua Nchi na hakika mwaka 2027 TRA itawapita Kenya na Kupeleka Kilimo kikubwa zaidi Kwa Kasongo yeye akiwa kwenye uchaguzi.
Mfano miradi ifuatayo ikianza kitema tuu basi wamekwisha.
1.Bomba la Mafuta la EACOP 2026,hapo Kuna zaidi ya Trilioni 1 na ujenzi uko over 50%
View: https://x.com/InfraUganda/status/1882698679984812250?t=8C44ayDwx2wf8qNcNnCkUA&s=19
2.Ubungo Logistics Centre ,2025
3.Kukamilika Kwa mradi wa Mapipa ya Mafuta Bandari ya Dar 2026.
4.Kukamilika Kwa upanuzi wa Bandari za Dar,Mtwara ,Tanga Kilwa, Zanzibar na zile za Maziwa makuu 2027.
5.Kukamilika Kwa viwanja vya ndege zaidi ya 5 mwaka 2026
7.Utitiri na kumiminika Kwa wawekezaji hasa wa viwanda
8.Kupanuka Kwa Kasi Kwa sekta ya Utalii na Kilimo.
9.Kuanza Kwa biashara masaa 24 jijini Dar
10.Kuanza Kwa uzalishaji kwenye migodi mikubwa ya Madini hasa Kinywe Lindi na Karagwe/Kahama.
My Take
Samia ataandika historia ya kuwa Rais wa kwanza Kuipita Kenya kimapato mwaka 2027 lakini Kuipita Kiuchumi mwaka 2030.
View: https://www.instagram.com/p/DFLeLF6C3Su/?igsh=MWVwanRoZHFmbDNlZg==
Uchaguzi wa Ruto ,lazima mama atamharibia Kwa kumpita na itakuwa fimbo ya kumtandikia Kisiasa.Hahahaha! Nimecheka sana. Kwa hiyo uchaguzi umekuwa 2027 tayari?
🙅🏻♂️🙅🏻♂️🙅🏻♂️ nakubali sana kwa oja zilizo enda shule 👍🏻👍🏻👍🏻Soma mada uelewe hapo nimefanya exchange rate ndio maana nikaja na hayo makadirio.
Ahaa! NimeelewaUchaguzi wa Ruto ,lazima mama atamharibia Kwa kumpita na itakuwa fimbo ya kumtandikia Kisiasa.
Moja ya kete kubwa ya CCM mwaka 2030 ni Kuipita Kenya Kiuchumi
Iyo iyo thamani ya buku ya Kenya kazi unayofanya kazi Kenya unalipwa iyo buku ni sawa na thamani ya kazi yake hapa nchini. Kwani hujaona wao wamekusanya trilioni 1.06 ya kwao sie trilioni 16.7 ,zingatia sana buku ya kenya ukiileta hapa bongo sio buku tena
Uko sahihi posho tunalipana hivi 👇 👇Kodi za kulipana maposho