Bado Trilioni 3 Tu TRA (Tzn) Kuipita KRA (Ken) Makusanyo ya Kodi. Kishindo Cha Tanzania ya Samia Kitapeleka vilio Kwenye Uchaguzi wao 2027

Bado Trilioni 3 Tu TRA (Tzn) Kuipita KRA (Ken) Makusanyo ya Kodi. Kishindo Cha Tanzania ya Samia Kitapeleka vilio Kwenye Uchaguzi wao 2027

Eti kuipita kenya kwa makusanyo ya kodi ndio ufanisi? Yaani utawala badala ya kupima ufanisi kwa namna gani wanainua maisha ya wananchi wanapima kwa makusanyo ambayo wanagawana vigogo wa serikali. Kenya siku zote kodi wanakusanya kuliko sisi lakini wananchi wa kawada si ndio wanalia sana? Juzi vijana wameandamana kupinga ufisadi na dhuluma. Mnaomshangilia mams ni wapenda dhuluma na ufisadi tu.
Hakuna mtu atake inua maisha yako binafsi ukiona kodi inakusanywa kubwa ujue shughuli za uzalishaji Mali na biashara zimeimarika na maisha ya watu yameimarika
 
Matumizi ya makubwa ya serikali ya hovyo, ununuzi wa magari ya viongozi, wizi unaosemwa kwenye ripoti ya CAG.
Wewe badala ya kusifia wanaolipa Kodi unasifia rais. Mna shida ya uelewa.
Ununuzi wa Magari ndio matumizi ya hovyo?

Ripoti za CAG zikitolewa Serikali Huwa inachukua hatua Kwa wahusika na elewa mantiki ya taarifa ya CAG.

Hakuna mlipakodi anapenda kulipa Kodi Kwa hiari ni wajibu wa.lazima.kisheria hata Mimi sipendi kulipa.kodi.na nikipata mwanya nakwepa so mkusanyaji.ndio tunampa maua yake.

View: https://www.instagram.com/p/DFMwMnPiUfA/?igsh=MXU1NmE2OGNlOTFjdw==
 
Hapa nani hana akili ,wewe au Mimi? Sitotaja vitu vingi,haya niambie Kenya Wana Sgr? Kwenye Wana umeme Kila Kijiji? Kenya Wana Utalii kuzidi Tanzania both numbers za watalii na Mapato? Kenya Wana nafuu ya maisha kuliko Tanzania? Je hujui kwamba Kenya ni maskini kuliko Tanzania?

Mwisho jadili mada kama ilivyo kwamba Tanzania mbioni kuwapaita Kenya.
View attachment 3212207View attachment 3212208
Toka shetani
 
Sasa na wao si watakuwa wapo mbele zaidi ili tuwafikie maana yake wawe static mapato yao yasibadilike kwa miaka hiyo mitatu mfululizo ni jambo ngumu.
May be kuwafikia ni after 7 to 9 years..
Growth rates ya Mapato Yao ni ndogo kuliko ya kwetu.Nimekwambia mwaka 2021 gap ilikuwa Trilioni 7 lakini Leo hii ni hiyo 3.5.

Pia nimekutajia Baadhi ya miradi michache tuu ambayo inaenda kuingiza hela,Kenya hawana mradi wowote wa maana.

View: https://www.instagram.com/p/DFM9QpttOtX/?igsh=MWw3bzB2OTQzZm50eg==
 
Tanzania Kupitia TRA inaenda Kuwapita Wakenya kwenye Makusanyo ya Kodi mwaka 2027 kwani Bado Shilingi Trilioni 3 Kuwafikia.

Hapo kabla Kenya ilikuwa imewekwa Gap la zaidi ya Trilioni 7 lakini juhudi za Serikali ya Samia kuhamasisha uwekezaji na ulipaji Kodi wa hiari zimeanza kuzaa matunda Kwa kupunguza gap kubwa lililokuwepo.

Kwa mujibu wa data rasmi kutoka taasisi hizo za Kodi ulinganishi niliodanya unaonesha kwamba Kwa kipindi Cha miezi 6 ya mwaka wa Fedha 2024/25,TRA imekusanya Shilingi Trilioni 16.5 huku KRA ya Kenya ikikushanya Kshs.1.07 (Tshs.20.T) sawa na tofauti ya Shilingi Trilioni 3.5 tuu.

View: https://x.com/BD_Africa/status/1881778910087557223?t=q-ekZhQFkuEuGSbCwr0NGg&s=19
View attachment 3212166

Kwa mikakati na uwekezaji Unaoendelea Nchini wa kufungua Nchi na hakika mwaka 2027 TRA itawapita Kenya na Kupeleka Kilimo kikubwa zaidi Kwa Kasongo yeye akiwa kwenye uchaguzi.

Mfano miradi ifuatayo ikianza kitema tuu basi wamekwisha.

1.Bomba la Mafuta la EACOP 2026,hapo Kuna zaidi ya Trilioni 1 na ujenzi uko over 50%

View: https://x.com/InfraUganda/status/1882698679984812250?t=8C44ayDwx2wf8qNcNnCkUA&s=19

2.Ubungo Logistics Centre ,2025

3.Kukamilika Kwa mradi wa Mapipa ya Mafuta Bandari ya Dar 2026.

4.Kukamilika Kwa upanuzi wa Bandari za Dar,Mtwara ,Tanga Kilwa, Zanzibar na zile za Maziwa makuu 2027.

5.Kukamilika Kwa viwanja vya ndege zaidi ya 5 mwaka 2026

7.Utitiri na kumiminika Kwa wawekezaji hasa wa viwanda

8.Kupanuka Kwa Kasi Kwa sekta ya Utalii na Kilimo.

9.Kuanza Kwa biashara masaa 24 jijini Dar

10.Kuanza Kwa uzalishaji kwenye migodi mikubwa ya Madini hasa Kinywe Lindi na Karagwe/Kahama.

My Take
Samia ataandika historia ya kuwa Rais wa kwanza Kuipita Kenya kimapato mwaka 2027 lakini Kuipita Kiuchumi mwaka 2030.

View: https://www.instagram.com/p/DFLeLF6C3Su/?igsh=MWVwanRoZHFmbDNlZg==

Hahahaha! Nimecheka sana. Kwa hiyo uchaguzi umekuwa 2027 tayari?
 
Hahahaha! Nimecheka sana. Kwa hiyo uchaguzi umekuwa 2027 tayari?
Uchaguzi wa Ruto ,lazima mama atamharibia Kwa kumpita na itakuwa fimbo ya kumtandikia Kisiasa.

Moja ya kete kubwa ya CCM mwaka 2030 ni Kuipita Kenya Kiuchumi
 
zingatia sana buku ya kenya ukiileta hapa bongo sio buku tena
Iyo iyo thamani ya buku ya Kenya kazi unayofanya kazi Kenya unalipwa iyo buku ni sawa na thamani ya kazi yake hapa nchini. Kwani hujaona wao wamekusanya trilioni 1.06 ya kwao sie trilioni 16.7 ,
Yaani mwalimu wa Kenya analipwa 35-45k ya kikenya huku analipwaje, hela ya kitanzania anayolipwa ukiibadilisha kwa Kenya ni sawa na hela yao, sio kuwa atalipwa laki nane za kikenya Mana tz alikuwa analipwa hizo, akienda huko analipwa hela ambayo ni sawa na hizi hizi za kwetu.
 
Back
Top Bottom