Bado Trilioni 3 Tu TRA (Tzn) Kuipita KRA (Ken) Makusanyo ya Kodi. Kishindo Cha Tanzania ya Samia Kitapeleka vilio Kwenye Uchaguzi wao 2027

Hapa naona wengi wanaompinga mtoa mada hawana hoja wamejawa na chuki tu (Pinga Pinga)
Wakisikia tuu jina Samia tayari wanashikwa na haja vinyeo vinawawasha πŸ˜‚πŸ˜‚

Hawana hoja na mada za hivi hawaniwezi maana Huwa nawapelekea moto wanaishia kujifariji Kwa kutukana na kuniita chawa 😁😁
 
Hayo Makusanyo hata yakiwa zaidi ya dunia nzima yana faida gani huku Kitaa, zaidi ya kuona wafujaji, watu wananunua magari ya Chama wakati watu hawana Ambulance na bado bakuli linatembezwa kama Kawa....




 
Uko sawa kabisa ufujaji unaendelea kama ifuatavyo πŸ‘‡πŸ‘‡

View: https://www.instagram.com/p/DFIHXVIts1B/?igsh=MXV3NmFidDRtOGIydQ==
 
Uko sawa kabisa ufujaji unaendelea kama ifuatavyo πŸ‘‡πŸ‘‡

View: https://www.instagram.com/p/DFIHXVIts1B/?igsh=MXV3NmFidDRtOGIydQ==
Hivi ni Upeo wako ndio mfupi au umeamua kufumba macho ? Kwahio hayo makusanyo ndio yanajenga hio barabara ? Na kila siku tunavyoambiwa hii Miradi itumie PPPs ? Yaani ni kwamba sasa hivi Makusanyo yameongezeka kwa hali ya juu (watu wamekuwa wengi na teknolojia ya kukusanya) Yet Huduma per unit imepungua balaa wengine hata maiti zao kushikiliwa sababu ya kukosa pesa za kulipia matibabu (na hata wangelipa ni BIMA na sio Serikali), By the way hio Miradi kwanini tunakwenda kukopa pesa eti ya RIBA nafuu wakati tungeweza kutumia Pesa ya ndani (kukopa wananchi kwa kutengeneza pesa na pesa hio kulipwa na wananchi baadae)...

NB: Hao Tarura hawakusanyi Mapato kutoka kwenye Parking n.k.
 
Vijijini nyumba za kudumu zinajengwa kwa kasi. Mijini ndio usiseme. Sasa utashangaa wanaolalamika ni wakina Nani na hawa wanaokesha kubishana ramani za majumba ya kisasa ni wakina Nani. Wakati mwingine tuhimizane kufanya kazi. Sharing yenu. Nyie shindeni kwenye vijiwe za kahawa na kuwajadili wanasiasa kila wakati. Itakula kwenu. Hii ni transition period akaepata atakuwa amepata na atakaekosa ajiandae yeye na vizazi vyake kuwa wabangaizaji forever. Hivi ushawahi kujiuliza kule kijijini kwako ulipotoka, wakati hujatoka upatikanaji wa ardhi ya kilimo na makazi ulikuwaje, na Leo upoje, na vipi miaka kumi ijayo hali itakuwaje.
Kama we were hujaweza kununua adhri kwa milioni moja mwaka huu, je mwanao Yule wa chekechea atakapo kuwa mtu mzima ataweza? Au atakuwa manamba mwenye masters kwenye shamba la tajiri wa darasa la Saba?
Jitafakarini, wakati haupo mkononi kwako.
 
Ni kweli kabisa na Mimi nakubalina na wewe kwamba makusanyo hmyaliyoongezeka hayalipii chochote yanaliwa ndio maana unaona haya uanatokea πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘‡πŸ‘‡

View: https://www.instagram.com/p/DEhiemjN_hb/?igsh=YWtodzIwdTR0azRz
Mimi ni nani Hadi nikubishie hakuna kitu kinafanyika na hizo pesa ndio maana Barabara zinajengwa Kwa hela inayoletwa na mvua πŸ˜πŸ˜πŸ‘‡πŸ‘‡

View: https://www.instagram.com/p/DEc2W7TtoJ2/?igsh=MXdrbmx6MHo4bHFzZA==
 
Samia ameleta golden chance akitoka wanakuja wale wanaopora hela za watu na ku paralyze uchumi huku wakidanganya wajinga na wajinga wanashangilia.

Kazi inaendelea πŸ‘‡ πŸ‘‡

View: https://www.instagram.com/p/DEaIs4RtHlH/?igsh=Yzh2b2YybHRxZmx6
 
Hizo barabara za TARURA ni percent ngapi imetoka kwenye mfuko wa TRA na ngapi zimetoka kwenye makusanyo mengine mfano (Parking n.k.)

Ndio maana ninakwambia shida yako ni kuangalia mambo kwa mafungu mafungu..., na iwapo barabara nyingi na dhima ya Serikali ni kuendesha / kujenga barabara kwa PPPs it means hata pesa / fungu linalotakiwa kutoka Serikalini (Kodi) sio kubwa kama otherwise..., now if that is the case kwanini makamuzi yanazidi ? Where is Value for Money ?!!!
 
Kwa taarifa Yako hakuna Barabara hata Moja ambayo inajengwa Kwa PPP model,umbulula unakusumbua.

Kwani hoja ni percent au matumizi ya Kodi? Haya nahamia kwenye maji naona kwenye Barabara hutaki πŸ˜πŸ˜†

Ufujaji unaendelea huku Bukoba πŸ€£πŸ€£πŸ‘‡πŸ‘‡


View: https://www.instagram.com/p/DFMzNMUttXr/?igsh=ZnZvYTJrbThsZmdl
 
Uchumi wa Bongo unakua kwa mafisadi tu😁 walalahoi wanakufa kwa kukosa laki na hamsini ya matibabu.
 
Kwa taarifa Yako hakuna Barabara hata Moja ambayo inajengwa Kwa PPP model,umbulula unakusumbua.
Kwahio Dalali Kafulila kila siku anavyoleta hizi hadithi za PPPs ni Hadithi tu ? Au zitaanza lini na Kodi itapungua lini ?; Na kwahio PPPs inafaa kwenye Mabweni na UMEME wetu na TEMESA kwanini huku ambapo kuna uhitaji wasifanye hao ? Au PPPs haikubaliki kwenye Barabara ?
Kwani hoja ni percent au matumizi ya Kodi? Haya nahamia kwenye maji naona kwenye Barabara hutaki πŸ˜πŸ˜†
Sasa bila kujua percent imetoka wapi na ngapi unawezaje kusema Matumizi yako yametumika vizuri wakati hayo mengine ni kwa Mikopo ambayo ni wajukuu zako ndio watalipa ? Hivi naongea na mtu mwenye ufahamu na fikra au ROBOT / AI ambayo inafanya ku copy na kupaste bila kushirikisha reasoning yoyote ?
Ufujaji unaendelea huku Bukoba πŸ€£πŸ€£πŸ‘‡πŸ‘‡


View: https://www.instagram.com/p/DFMzNMUttXr/?igsh=ZnZvYTJrbThsZmdl
Na unaongelea maji bila aibu wakati kuna watu sehemu kama Mwanza ziwa wanaliona lile pale na bado mabomba yameota kutu na maji kwao kuyaona ni kama miracle ?!!! Na unajua misaada mingapi na pesa ngapi nchi hii inapokea kwenda kwenye sekta ya Maji ?

Kwa ufupi tu ngoja nifanye simplification ili hata wewe uweze kuelewa...; Leo mtu ambaye anatoa kingi kuliko hapo kabla (kila akinunua anakatwa kodi, akituma muamala anakatwa, akiongea na simu anakatwa, akiingia income anakatwa) Mtu huyu bado kila huduma anayotapa bado analipia (Makazi, Mavazi na hata Elimu) ambapo hawa walamba asali waliopo hapo juu waliweza kupata hivyo kama huduma (Elimu na Afya) wakati makusanyo yalikuwa madogo kuliko haya na wala kulikuwa hakuna teknolojia ya ukusanyaji wenye ufanisi kama huu....

Na kwa kukuongezea kama Corruption ikiondoka Tanzania na Afrika kwa ujumla haitahitaji hata senti moja kutoka nje..., na mpaka dakika hii na hata kabla wealthy has been moving from Africa to Developed Countries...
 
Kimsingi huna akili, Serikali Bado haipata wawekezaji wa Barabara za PPP.

Ukitaka kujua kiasi gani kinaenda wapi rejea Bajeti ya sekta au Wizara zote Utajua ,Kwa Sasa kazi ni kukusanya hela na kuzipeleka.

Kama hutaki kulipa Kodi unatarajia Serikali itoe wapi pesa? Hamia Nchi ambako hawalipi Kodi ila wanapewa Huduma.

Corruption haiwezi Isha Hadi China wakaonyonga ipo ila imepungua sana na ndio kazi ya Serikali kudhibiti wezi.

Mwisho kazi ya kusambaza maji inaendelea huko huko Mwanza πŸ‘‡πŸ‘‡

View: https://www.instagram.com/p/DFH29qyApf7/?igsh=MWZhMDc4d2MxcjlyaA==
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…