ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
- Thread starter
- #101
Kama yapi hayo?Ya hovyo hovyo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama yapi hayo?Ya hovyo hovyo.
Matumizi yamefanyaje? Inaweza kusanya ukashindwa kutumia?Mkuu nilitaka nimjibu hivo umeniwahi.
Manunuzi ya magari ya anasa kama Land Cruiser 300.Kama yapi hayo?
Tangu lini manunuzi ya magari yakawa matumizi ya hovyo? Uko sawa sawa upstairs?Manunuzi ya magari ya anasa kama Land Cruiser 300.
Hizi ni LC 300 si ndio? 👇👇Manunuzi ya magari ya anasa kama Land Cruiser 300.
Watakwisha hata kabla ya SGR.By 2030 SGR ndio itakuwa imekamilika.Mama akifikisha SGR Mwanza na Kigoma ikaanza kubeba mizigo ya nchi jirani Kenya wamekwisha!! Sijui anakwama wapi bimkubwa
Kila kitu ni mipango and political will, Bimkubwa akiamua wajenge SGR usiku na mchana kwa kuona faida yake labda 2027 inaweza kukamilika, ule mradi utainyanyua tz hadi uchumi wa juu sana na utarudisha pesa yote fasta. Shida ni kuwa kuna wanaopinga wenye malori na mabasi!!Watakwisha hata kabla ya SGR.By 2030 SGR ndio itakuwa imekamilika.
Sikuiweka kwenye list Kwa sababu Kwa Sasa Haina faida kiuchumi ila inatumia ruzuku kujiendesha.
Mimi, nape nilimwelewa sana.Hamna cha kutuambia na kampeni zenu za kitapeli 2025 tutawauwa kwenye ballot box
Nimesoma uzunguni nchi tajiri kule hakunaga ufaulu wa hivyo A zote darasa zima, kule pepa ngumu huoni pa kutokea, ndo maana Africa ni maskini mileleVAT mkitukuta tunafikiri wakati nyie mliofaulu Darasani mpo tuchapeni viboko - Kodi kwa maendeleo ya TaifaView attachment 3212500
Bibi yenu ameanza kuzitumia kodi zetu kuwahonga wakina Wenje!! She should learn, atawahonga wajumbe wa ccm na ujinga wao watakula hizo hela halafu watampigia kura za “ Hapana”! Bahati yake alishtuka na kukataa kuondoka ukumbini I!!Shida kubwa ipo kwenye matumizi ya hizo kodi!
Ndio Tunawaachia nchi yao ni ya wote kufaulu ndani ya Nchi Ya Mabadiliko ya kila kituuuuuuu....Nimesoma uzunguni nchi tajiri kule hakunaga ufaulu wa hivyo A zote darasa zima, kule pepa ngumu huoni pa kutokea, ndo maana Africa ni maskini milele
Kimsingi huna akili, Serikali Bado haipata wawekezaji wa Barabara za PPP.
Ukitaka kujua kiasi gani kinaenda wapi rejea Bajeti ya sekta au Wizara zote Utajua ,Kwa Sasa kazi ni kukusanya hela na kuzipeleka.
Kama hutaki kulipa Kodi unatarajia Serikali itoe wapi pesa? Hamia Nchi ambako hawalipi Kodi ila wanapewa Huduma.
Corruption haiwezi Isha Hadi China wakaonyonga ipo ila imepungua sana na ndio kazi ya Serikali kudhibiti wezi.
Mwisho kazi ya kusambaza maji inaendelea huko huko Mwanza 👇👇
View: https://www.instagram.com/p/DFH29qyApf7/?igsh=MWZhMDc4d2MxcjlyaA==
Ni lini mlikuwa hamkamuliwi? Kama haiendani na Huduma lipa Kodi zaidi Ili upate stahiki hakuna Cha bure.Wengine waliopunguza matumizi wakafanikiwa ni kina nani hao na waliopunguza nini na wakafanikiwa kipi.?Naona hapa najirudia kama Santuri tu ? Na uelewa wako inaonekana ni mfupi sana..., Ni hivi narudia tena kwa mara nyingine.., Makusanyo / Makamuzi yameongezeka maradufu na hayaendani sambamba na Huduma zinazotolewa..., Ukizingatia Serikali hii ya Madalali ambayo imeshajijengea kwamba kila kitu hawawezi tulete wengine wanfanye (hivyo kupunguza hata matumizi ambayo wangetumia otherwise) kwahio in short hakuna value for money...
Pili huwezi kujisifia tumiradi twa maji wakati misaada na mikopo lukuki inakuja kila mwaka kwa ajili ya maji..., sasa iwapo huko Jangwani watu wanapata maji na hakuna ma cheerleaders wanaosifia hilo (wewe kuleta hapa hio kama justification ya makamuzi) nakuona kama Punguani.
Tatu kwa kuona kwamba Corruption haiwezi kuisha kwa taifa / bara ambalo curroption ndio imetufanya ombaomba nakubaliana na wanaosema kwamba yule anayeleta na aliyeleta tatizo huwezi kumtegemea kumaliza tatizo hilo...
Mwisho kabisa hii Notion kwamba lazima uwe na Kodi ya Mapato ili mambo yaende kwenye nchi yenye vyanzo vya kuwaga ndio mtaji wa wanasiasa wanaotumia kuwalaghai watu wenye mawazo kama yako kuridhika na mediocrity...
Pesa inahitajika maeneo mengine kuliko Sgr tuu.Kila kitu ni mipango and political will, Bimkubwa akiamua wajenge SGR usiku na mchana kwa kuona faida yake labda 2027 inaweza kukamilika, ule mradi utainyanyua tz hadi uchumi wa juu sana na utarudisha pesa yote fasta. Shida ni kuwa kuna wanaopinga wenye malori na mabasi!!