Bado Trilioni 3 Tu TRA (Tzn) Kuipita KRA (Ken) Makusanyo ya Kodi. Kishindo Cha Tanzania ya Samia Kitapeleka vilio Kwenye Uchaguzi wao 2027

Bado Trilioni 3 Tu TRA (Tzn) Kuipita KRA (Ken) Makusanyo ya Kodi. Kishindo Cha Tanzania ya Samia Kitapeleka vilio Kwenye Uchaguzi wao 2027

Bibi yenu ameanza kuzitumia kodi zetu kuwahonga wakina Wenje!! She should learn, atawahonga wajumbe wa ccm na ujinga wao watakula hizo hela halafu watampigia kura za “ Hapana”! Bahati yake alishtuka na kukataa kuondoka ukumbini I!!
🚮🚮 Na wewe Kahongwe
 
Mimi naona wangeacha kutangaza hayo makusanyo zaidi zaidi wangejikita kutengeneza miundombinu bara bara ya kutoka Dar mpaka Tunduma huko mbeya magari yanapita kwa tabu sana kama vile sio Nchi tunayotangaziwa kuvuka lengo kila kukicha...
 
Fedha za chama kwa miradi iliyopora wananchi, maeneo ya wazi, viwanja vya mipira, kumbi kubwa za kimataifa zinatakiwa kumilikiwa na serikali ila mmeziiba na kujimilikisha.
Hayo ni Yako Sasa ila chama kina Fedha zake kutoka vyanzo vyake eg
Ruzuku
Viwanja vya Michezo
Mashule
Maduka ya biashara
Magorofa
Vyombo vya habari
 
Hayo ni Yako Sasa ila chama kina Fedha zake kutoka vyanzo vyake eg
Ruzuku
Viwanja vya Michezo
Mashule
Maduka ya biashara
Magorofa
Vyombo vya habari
Hivyo viwanja ni mali za wananchi/serikali, mifisiem ikajimilikisha. Uache huo uchawa wako uwe unatumia akili.
 
Ni lini mlikuwa hamkamuliwi? Kama haiendani na Huduma lipa Kodi zaidi Ili upate stahiki hakuna Cha bure.Wengine waliopunguza matumizi wakafanikiwa ni kina nani hao na waliopunguza nini na wakafanikiwa kipi.?
He who does not travel thinks his mother is the best cook. Au unataka nikutajie nchi ambazo hazina Kodi ya Mapato ? Au niendelee kukufundisha ni vipi nchi kama Libya before Gaddafi walivyokuwa wana hali mbali na alivyokuja alivyoweza kuwainua watu wake kwa kutumia mapato ya mafuta ? Fuatilia mambo karne hii wala hauhitaji kwenda maktaba huo muda wa kuwa Cheerleader utumie kutanua maarifa na kuelewa jinsi mambo yanavyokwenda na ni vipi wengine wanafanya..., Na baada ya kufahamu hayo utagundua tatizo kubwa la Afrika ni Corruption na Matumizi mabaya ya pesa...
Mikopo sio Msaada inalipwa na Kodi na ni lazima ,Nchi zote zilizoendelea Zima madeni mara dufu ,Tanzania hatuna Hilo deni mara dufu.Mtu akikupa Msaada pokea na tumia.ila.Tanzania inaenda bila Msaada , kwenye Bajeti hiyo Msaada hazifiki hata Trilioni 4 kati ya Bajeti ya Trilioni 44.Mwisho Taja Nchi ambazo Viongozi hawasifiwi.
Na huu ndio ujinga mwingine USA ina Madeni maradufu how ? Ni kwamba wanaprint pesa zao na kuwauzia dunia nzima kama Bonds hivyo wewe ndio guarantee wa mtu kama USA kuendelea kutumia pesa bila shida yoyote sababu ukienda kudai na riba yako anaprint zaidi...

Na ndio maana kwa kujaribu kukupa fikra mbadala na kuangalia nje ya box nikakuletea UZI; hapo chini ambao in summary unakuelewesha ukienda kukopa iwe Benki za ndani au hata nje ukipewa mikopo wananchi wako kesho watalipa plus RIBA ila kama ukitumia wakandarasi wa ndai na malighafi za ndani (jambo ambalo ukiwa na akili na mipango mirefu unaweza) ni kwamba utakachofanya utaprint pesa za kulipa hio miradi (serikali itakuwa na minus / deni) ambalo katika makusanyo lile deni litaondolewa bila RIBA yoyote na ni kwamba ni wananchi wako ndio watakuwa wameweza kufadhili huo mradi cheaply

Kodi lazima hapa Duniani kama hutaki kulipa Kodi hama sayari maana hakuna utakakoenda usilipe Kodi.
Hakuna mtu ambae halipi Kodi hapa Tanzania kila ukitumia bidhaa yoyote unakatwa kodi; na kwa taarifa yako sio nchi moja wala mbili kuna nchi lukuki zinazojiweza ambazo hazina kodi ya mapato; au na hili hulijui ?
Kazi ya kusambaza maji inaendelea hapa Ruvuma ,biloni 146 zimemwagwa 👇👇

View: https://www.instagram.com/p/DFM38TlM-s5/?igsh=MXI0YzN1em4zYWZoNw==

Ni kama mtu aneyeona anashindana na Vipofu katika mbio fupi alafu anajisifia kwa kuwa mtu wa tatu.., Ni kwamba kwa nchi ambayo imezungukwa na maji kuliko (fresh water) kuliko nchi nyingine Afrika alafu unajisifia kwa kusambazia watu mabomba wakati majority hawana maji wakati kuna watu huko Jangwani wameweza kuwapa wananchi wao Maji ?!!!

Really!!!????
 
He who does not travel thinks his mother is the best cook. Au unataka nikutajie nchi ambazo hazina Kodi ya Mapato ? Au niendelee kukufundisha ni vipi nchi kama Libya before Gaddafi walivyokuwa wana hali mbali na alivyokuja alivyoweza kuwainua watu wake kwa kutumia mapato ya mafuta ? Fuatilia mambo karne hii wala hauhitaji kwenda maktaba huo muda wa kuwa Cheerleader utumie kutanua maarifa na kuelewa jinsi mambo yanavyokwenda na ni vipi wengine wanafanya..., Na baada ya kufahamu hayo utagundua tatizo kubwa la Afrika ni Corruption na Matumizi mabaya ya pesa...

Na huu ndio ujinga mwingine USA ina Madeni maradufu how ? Ni kwamba wanaprint pesa zao na kuwauzia dunia nzima kama Bonds hivyo wewe ndio guarantee wa mtu kama USA kuendelea kutumia pesa bila shida yoyote sababu ukienda kudai na riba yako anaprint zaidi...

Na ndio maana kwa kujaribu kukupa fikra mbadala na kuangalia nje ya box nikakuletea UZI; hapo chini ambao in summary unakuelewesha ukienda kukopa iwe Benki za ndani au hata nje ukipewa mikopo wananchi wako kesho watalipa plus RIBA ila kama ukitumia wakandarasi wa ndai na malighafi za ndani (jambo ambalo ukiwa na akili na mipango mirefu unaweza) ni kwamba utakachofanya utaprint pesa za kulipa hio miradi (serikali itakuwa na minus / deni) ambalo katika makusanyo lile deni litaondolewa bila RIBA yoyote na ni kwamba ni wananchi wako ndio watakuwa wameweza kufadhili huo mradi cheaply

Hakuna mtu ambae halipi Kodi hapa Tanzania kila ukitumia bidhaa yoyote unakatwa kodi; na kwa taarifa yako sio nchi moja wala mbili kuna nchi lukuki zinazojiweza ambazo hazina kodi ya mapato; au na hili hulijui ?

Ni kama mtu aneyeona anashindana na Vipofu katika mbio fupi alafu anajisifia kwa kuwa mtu wa tatu.., Ni kwamba kwa nchi ambayo imezungukwa na maji kuliko (fresh water) kuliko nchi nyingine Afrika alafu unajisifia kwa kusambazia watu mabomba wakati majority hawana maji wakati kuna watu huko Jangwani wameweza kuwapa wananchi wao Maji ?!!!

Really!!!????
Nadharia vs practical ,kazi inaendelea across sectors 👇 👇

View: https://x.com/MatayoZebedayo/status/1882789368181702672?t=KsU5wNhsV7-nbXGtgmH1iw&s=19

Uwage na akili ,unaleta stori za Libya yenye watu chini ya Mil.2 at ysame time ni Nchi namba 2 Kwa Mafuta Afrika? Are you insane?

Tanzania ya Samia haiboi Wala haipoi 👇👇

View: https://youtu.be/S3a5NcLkAy4?feature=shared
 
Tanzania Kupitia TRA inaenda Kuwapita Wakenya kwenye Makusanyo ya Kodi mwaka 2027 kwani Bado Shilingi Trilioni 3 Kuwafikia.

Hapo kabla Kenya ilikuwa imewekwa Gap la zaidi ya Trilioni 7 lakini juhudi za Serikali ya Samia kuhamasisha uwekezaji na ulipaji Kodi wa hiari zimeanza kuzaa matunda Kwa kupunguza gap kubwa lililokuwepo.

Kwa mujibu wa data rasmi kutoka taasisi hizo za Kodi ulinganishi niliodanya unaonesha kwamba Kwa kipindi Cha miezi 6 ya mwaka wa Fedha 2024/25,TRA imekusanya Shilingi Trilioni 16.5 huku KRA ya Kenya ikikushanya Kshs.1.07 (Tshs.20.T) sawa na tofauti ya Shilingi Trilioni 3.5 tuu.

View: https://x.com/BD_Africa/status/1881778910087557223?t=q-ekZhQFkuEuGSbCwr0NGg&s=19
View attachment 3212166

Kwa mikakati na uwekezaji Unaoendelea Nchini wa kufungua Nchi na hakika mwaka 2027 TRA itawapita Kenya na Kupeleka Kilimo kikubwa zaidi Kwa Kasongo yeye akiwa kwenye uchaguzi.

Mfano miradi ifuatayo ikianza kitema tuu basi wamekwisha.

1.Bomba la Mafuta la EACOP 2026,hapo Kuna zaidi ya Trilioni 1 na ujenzi uko over 50%

View: https://x.com/InfraUganda/status/1882698679984812250?t=8C44ayDwx2wf8qNcNnCkUA&s=19

2.Ubungo Logistics Centre ,2025

3.Kukamilika Kwa mradi wa Mapipa ya Mafuta Bandari ya Dar 2026.

4.Kukamilika Kwa upanuzi wa Bandari za Dar,Mtwara ,Tanga Kilwa, Zanzibar na zile za Maziwa makuu 2027.

5.Kukamilika Kwa viwanja vya ndege zaidi ya 5 mwaka 2026

7.Utitiri na kumiminika Kwa wawekezaji hasa wa viwanda

8.Kupanuka Kwa Kasi Kwa sekta ya Utalii na Kilimo.

9.Kuanza Kwa biashara masaa 24 jijini Dar

10.Kuanza Kwa uzalishaji kwenye migodi mikubwa ya Madini hasa Kinywe Lindi na Karagwe/Kahama.

My Take
Samia ataandika historia ya kuwa Rais wa kwanza Kuipita Kenya kimapato mwaka 2027 lakini Kuipita Kiuchumi mwaka 2030.

View: https://www.instagram.com/p/DFLeLF6C3Su/?igsh=MWVwanRoZHFmbDNlZg==

Ni uwongo mtupu umeweka hapa. Sifa za kijinga.
Pato la Kenya(2023) lilikuwa US$ 375B.
Pati la Tz (2024) lilikuwa US$ 270B.
Pato la mtu mmoja mmoja kwa Kenya US$ 7,160 na Tanzania US$4,130.
Tanzania ni masikini kuliko Kenya. Kiuchumi wametuacha mbali hatuna cha kujivunia mbele ya waKenya.
 
Ni uwongo mtupu umeweka hapa. Sifa za kijinga.
Pato la Kenya(2023) lilikuwa US$ 375B.
Pati la Tz (2024) lilikuwa US$ 270B.
Pato la mtu mmoja mmoja kwa Kenya US$ 7,160 na Tanzania US$4,130.
Tanzania ni masikini kuliko Kenya. Kiuchumi wametuacha mbali hatuna cha kujivunia.
Acha ujinga basi wewe mbumbumbu,jadili hoja ya Makusanyo kwanza huko kwingine tutaenda ukitaka.
Screenshot_20241231-044513.jpg
 
Back
Top Bottom